Nisife Moyo Lyrics by CHARISMA

Nipe moyo safi  
Niondolee watiaji
Umenivisha taji
Ukaniweka kando ya maji

We nena, we nena
Nitasikia
We sema, we sema
Nimetulia

Wewe ndio ulisema
Kamwe hutochelewa
Na kwa yote umenifunza

Nikumbushe neno lako
Nisife moyo
Na unionyeshe wema wako
Nisife moyo

Mikosi haikosi
Na siku za majonzi
Jionyeshe uwezo wako
Nisife moyo

Moyo wouwoo, moyo wouwoo
Moyo wouwoo, wewe wewe eh

Nipe understanding
Kwenye siku za kiangazi
Hii muziki ndo kazi
So wacha nikuimbie Daddy

We nena, we nena
Nitasikia
We sema, we sema
Nimetulia

Wewe ndio ulisema
Kamwe hutochelewa
Na kwa yote umenifunza

Nikumbushe neno lako
Nisife moyo
Na unionyeshe wema wako
Nisife moyo

Mikosi haikosi
Na siku za majonzi
Jionyeshe uwezo wako
Nisife moyo

Nikumbushe neno lako
Nisife moyo
Na unionyeshe wema wako
Nisife moyo

Mikosi haikosi
Na siku za majonzi
Jionyeshe uwezo wako
Nisife moyo

I'm high on your love
Yes I'm high on your love
So high on your love
Yes I'm high on your love

I'm high on your love
Yes I'm high on your love
So high on your love
Yes I'm high on your love

Music Video
About this Song
Album : With Love Charisma/ Nisife Moyo (EP),
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By: Huntyr Kelx
Published: Apr 26 , 2020
More Lyrics By CHARISMA
Comments ( 0 )
No Comment yet