Dege Dege Lyrics
Dege Dege Lyrics by NEDY MUSIC
Cheza kama una dege dege (eeeh dege dege)
Fumba macho chezesha bwege (eeh chezesha bwege )
Ushanifungaga jela
Mgonjwa me kwako machela
Teja nadevela
Nikikuona moyo unapapatika
Usijenipa mdondo
Kichwa ubongo
Nipeza sikinde msondo
We mama washa kibiritii
We natii we natii
Mama zikazie
Sisikii sisikii
Bomba nilifungulie
Kwako sibwenki me koko
Naramba unyayo ugoko
Mwasi kitoko biloko
Nakula kulia kushotoo
Ile ilete
Isogeze ilete
Ile ilete
Isogeze ilete
Ile ilete
Isogeze ilete
Ile ilete
Isogeze ilete
Yani leeeooo
leeooo
Cheza kama una dege dege (eeeh dege dege)
Fumba macho chezesha bwege (eeh chezesha bwege )
Chanika musamba
Iwe suruali ama na kanga
Haunaga matanga (matanga)
We natii we natii
Mama zikazie
Sisikii sisikii
Bomba nilifungulie
Kwako sibweki me koko
Naramba unyayo ugoko
Mwasi kitoko biloko
Nakula kulia kushotoo
Ile ilete
Isogeze ilete
Ile ilete
Isogeze ilete
Ile ilete
Isogeze ilete
Ile ilete
Isogeze ilete
Yani leeeooo
Leeooo
Cheza kama una dege dege (eeeh dege dege)
Fumba macho chezesha bwege (eeh chezesha bwege )
Chanika musamba
Iwe suruali ama na kanga
Haunaga matanga (matanga)
Watch Video
About Dege Dege
More NEDY MUSIC Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl