Ipo Sawa Lyrics by NAY WA MITEGO


Yeah, the True Boy 
Is in the building
Its a 966 baby

Leo tuna kazi ya kufanya
Maana naona mmejisahau sana
(Free Nation, Bin Laden)

Leo nitaongea sana na pia nitawakumbusha
Maana mimi na nyinyi ni kama teja na pusha
Mikono juu kama kweli we ni soldier
Hii ni ishara ya kwamba tuko pamoja

Hivi unajua mzee baba? 
Huku Nenga na Nandy wamerudisha mahaba
Wamerudisha mahaba? 
Madem bwana?

Tufadhili mbuzi maana utamla mchuzi
Naweza kumsomesha na akakuletea makuzi
Yuko wapi Dogo Aslay nyimbo siziskii tena
Vipi kuna figisu baba mdogo wapi unakwama?

Janjaro tangu uwachike ni kama kaacha mziki
Sijui stress za Uwoya ni mwaka je katoa hit
Nipeeni namba ya Wema nimshauri cha kufanya
Muda wake umeshapita ila Steve anamdanganya
Bahati haiji mara mbili cha kufanya auze nyanya
(Auze nyanya?)

Haiyee! Mbeya City whatsup? Ipo sawa!
Wazee wa mitumba mnasemaje? Ipo sawa! iyee
Dar City whatsup? Ipo sawa!
Wazee wa Nondo mnasemaje? Ipo sawa! iyee

Kando ya ziwa haha Ipo sawa!
Kusini kaskazini mnaionaje? Ipo sawa! iyee
Moro town warrup? Ipo sawa!
Bajaji, boda boda mnsemaje?

Yoh, namuua nyani huku namtazama usoni
Ulitaka pipi nawapa nyongeza koni
Sihitaji rafiki sababu sipendi unafiki
Siogopi jam, washikaji zangu matrafiki

Naongea na konki, hio wewe aunty konki
Unapenda kiki, unataja mashoga ka si wewe mwenyewe shoga
Ati umeokoka, umekosa hela ya viroba
001, boss toka Kenya,Gari ulilompa Dimpoz 
Bro si ndo lile ulilomhonga Huddah?

Ganda la ndizi kalipata Benpol
Kasahau muziki, kaolewa 254
Zimebaki bwebwe tu, kiukweli mwana ameyumba
Sijui ni gundu mmakonde naye amechimba
Rais wa kitaa, kipenzi cha masela
Baba Yaga, kamanda nawarusha mpaka jela

Haiyee! Mbeya City whatsup? Ipo sawa!
Wazee wa mitumba mnasemaje? Ipo sawa! iyee
Dar City whatsup? Ipo sawa!
Wazee wa Nondo mnasemaje? Ipo sawa! iyee

Kando ya ziwa haha Ipo sawa!
Kusini kaskazini mnaionaje? Ipo sawa! iyee
Moro town warrup? Ipo sawa!
Bajaji, boda boda mnsemaje?

Haiyee! Ipo sawa!
Haha naomba niwakumbushe kitu
Kuna tofauti mbili ya bouncer na body guard
Yoyote anaweza kuwa bouncer
Ila sio kila mtu anaweza kuwa bodyguard

Wazee wa Nondo watsup
Wanangu wa kitaa inakuwaje
Wanasema utavuna ulichopanda 
Ukipanda mahindi usitegemee kuvuna mihogo

Pumbavu wewe!

Eeeh..Baba Yaga is in the building
(Eyoo ni True Name)

Ah mbona umemsahau Menina?
Acha shobo wewe hayakuhusu

Watch Video

About Ipo Sawa

Album : Ipo Sawa (Single)
Release Year : 2019
Copyright : (c) 2019 FreeNation Records
Added By : Huntyr Kelx
Published : Oct 18 , 2019

More NAY WA MITEGO Lyrics

NAY WA MITEGO
NAY WA MITEGO
NAY WA MITEGO
NAY WA MITEGO

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl