Hawakatai Lyrics
Hawakatai Lyrics by NAY WA MITEGO
Hawakatai, hawakatai
Hawakatai eeh katai, hawakatai (Hawakatai)
Hawakatai eeh katai, hawakatai
Sijui wana tamaa ukipendeza wanajileta (Hawakatai)
Sura mbaya imekomaa utawapata ukiwa na pesa (Hawakatai)
Ukimfuata na gari hata kama la kuazima
Ujue amekwisha huyo (Hawakatai)
Akikupa namba we tuma salio
Mwambie njoo ghetto (Hawakatai)
Mmekutana leo, unamwomba leo
Na anakupa leo (Hawakatai)
Ukimpa mimba mzee, ukimwambie akatoe (Hawakatai)
---
---
Hawakatai eeh katai, hawakatai (Hawakatai)
Hawakatai eeh katai, hawakatai
Hawakatai, katai, katai, hawakatai (Hawakatai)
Hawakatai, katai, katai, hawakatai (Hawakatai)
Eh eh ... hawakatai
Sijui ushamba
Akikupenda hata ukiomba picha za utupu (Hawakatai)
Wanajiona wajanja wakati ulimbo wao ni bia na chips kuku (Hawakatai)
Watch Video
About Hawakatai
More NAY WA MITEGO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl