Hadithi by NACHA Lyrics

Heee tusimulie, mulie mulie
Heee tusimulie, mulie

Pindi nyie wadogo
Kuna visa viliibuka sio kidogo
Wizi nikasema hii ni Bongo
Mnajua ni nani (Babu wa Loliondo)
Vizuri, hajarudi Kristo
Na wakaibuka maana ya bi vituko
Na hata huko kwenu najua wapo
Nitajie mmoja tu (na Bi. Mvitoo..)

Eeh na wakachekesha
Zikaibuka kiki za BASATA
Kibamia kufungiwa mwisho wa hapa
Alafu za Rihana ruksa za kuzichapa
(aaah...)

Acheni pupa hadithi inaendelea bwana
Hadithi hadithi hadithi
(utam kolea, uwongo njoo bwana, utam kolea )
Hadithi
(utam kolea, uwongo njoo bwana, utam kolea )

Hadithi hadithi hadithi
(utam kolea, uwongo njoo bwana, utam kolea )
Hadithi
(utam kolea, uwongo njoo bwana, utam kolea )

Wakaibuka watu wa Bongo, watu wasiojulikana
Wakampiga na Liz wasiojulikana
Wakamteka na Roma wasiojulikana
Wakavunja beti Taifa
(hao ni simba bwana)

Wakasema hii siasa haina usawa
Wakajiunga unga ikawa ukawa
W-wakesi wengi ndo ushindi
Ila hakuna muda hato umoja hushinda wingi

Manje akafungwa, Yanga ikayumba
Wimbi la ushoga sio ni stori za kutungwa
Mange akashindwa maandamano yakapingwa
Na hii ndio Bongo, utayooshwa ukipinda
(aaah...)

Acheni pupa hadithi inaendelea bwana
Hadithi hadithi hadithi
(utam kolea, uwongo njoo bwana, utam kolea )
Hadithi
(utam kolea, uwongo njoo bwana, utam kolea )

Hadithi hadithi hadithi
(utam kolea, uwongo njoo bwana, utam kolea )
Hadithi
(utam kolea, uwongo njoo bwana, utam kolea )

Music Video
About this Song
Album : Hadithi (Single),
Release Year : 2019
Added By: Huntyr Kelx
Published: Jul 19 , 2019
More Lyrics By NACHA
Comments ( 0 )
No Comment yet
Leave a comment
Top Lyrics

You May also Like

Download Mobile App

© 2020, New Africa Media Sarl

Follow Afrika Lyrics