Performance Lyrics

MWASITI Feat GNAKO Tanzanie | Bongo Flava,

Performance Lyrics


Pah pah pah pah ah cheat dem 
Pah pah performance ah mmmh
Pah pah pah pah ah cheat dem 
Pah pah performance 

Ushanikuna nazi tui noga
Acha waseme umeniroga
Kaza kamba ka buti la soja 
Iyee

Akili ushaikoroga 
Shuka kwa chini njoo
Kula maini love
Mi nawe jembe kwa mpini love

Umeninasa bila ulimbo
Nikiwa kando yako sina ujanja 
Sinaga mbio

Unachotaka nasema ndio 
Siwezi kukupinga
Daddy ooh, daddy ooh

Katoto kana perform
Katoto kana perform
Katoto kana perform
Katoto kana perform

Kama nikizama, nikiinuka
Nuikilamba nikigusa
Kanishika, sshhh

Katoto kana perform
Katoto kana perform
Katoto kana perform
Katoto kana perform

Kama nikizama, nikiinuka
Nuikilamba nikigusa
Kanishika, sshhh

Yeah, perform

Ikija baridi jua nigande
Nikikuzidia joto, nikukande(uwii)
Nikichutama we nipande
Tena nifungie kamba nisiende

Si rahisi wee, si rahisi wewe
Katu katu kukupoteza 
Nikikumiss we najihisi kama 
Wajanja washajiongeza

(Yeah yeah yeah yeah)

Oooh kwangu nyota 
Kisimani maji chota
We kidole jichoni ushanichota eeh
Mchezoni we ni kocha 

Umeninasa bila ulimbo
Nikiwa kando yako sina ujanja 
Sinaga mbio

Unachotaka nasema ndio 
Siwezi kukupinga
Daddy ooh, daddy ooh

Katoto kana perform
Katoto kana perform
Katoto kana perform
Katoto kana perform

Kama nikizama, nikiinuka
Nuikilamba nikigusa
Kanishika, sshhh

Katoto kana perform
Katoto kana perform
Katoto kana perform
Katoto kana perform

Kama nikizama, nikiinuka
Nuikilamba nikigusa
Kanishika, sshhh

Yeah, perform

Baby baby
Up you and I, up you and I 
We going low low you and I 
Low you and I 

MWASITI (2 lyrics)

Mwasiti also known as Chitty Witty is a Tanzanian Song bird she is one of the few super talented female musicians from Tanzania her career has been outstanding through the years.

Leave a Comment