Unaniboo Lyrics
Unaniboo Lyrics by MWANA MTULE
Ibilisi mapembe 40 hebu niache
Unapenda mi na Mungu tukosane
Una wivu mbaya wewe ushindwe
Siwezi aminia wewe, wewe ni bure
Nampenda zambe mkweli
Sio kama wewe mtapeli
Acha kunifuata sijakupa kazi ya ulinzi
Acha kunidanganya hujanifunza mziki
Mbinguni ulishindwa kumpigia Mungu mavocals
Si unataka tufanye collabo tuharibu jameni
Ah ah ah ninakuchukia
Ah ah ah unavyonichukia
Ah ah ah ninakuchukia
Ah ah ah unavyonichukia
Unaboo (Shetani) Unaniboo (Shetani)
Unaboo (Shetani) Acha kuniboo (Shetani)
Unaboo (Shetani) Unaniboo (Shetani)
Unaboo (Shetani) Unaniboo (Shetani)
Acha acha kabisa, acha acha kunifuatilia
Acha acha kabisa, acha acha kunifuatilia
Unanitafutaga maneno kila siku
Nakuonaga kwa umbali shetani
Lakini mimi nakuwaga nimenyamaza chini ya maji
Maana ninalindwa na Mungu Baba
Na ninapelekwa pale pazuri
Lakini sitaki mambo yako, kaa mbali na mimi
Nikome kome, eeh umenichosha aah
Wewe muovu shetani kila siku kunigongea mlango yangu
Unataka chakula yangu, ni nani aliyekupa ruhusa
Uje kwa maisha yangu wewe, wewe
Leo nakushtaki kwa baba, akuchune chune
Mi nimechoka na wewe unaniumiza bure
Huoni mimi ni mali ya zambe
Wewe unacheza na wembe
We utakatwa, leo nakatwa
Mi nangoja kuona ukikatwa
Unaumiza sana moyo wangu shetani
Kwani mimi nilikukosea nini
Wivu yako peleka huko
Siku ya nyani kufa miti zote huwa zinateleza
Naona kama shetani wee miti leo yako inateleza
Nya nya nya nya... punguza maneno shetani
Unanichoke unaniaffect shetani
Unakosea sana kunifuata fuata
Mimi si mali yako unajidanganya
Unaboo (Shetani) Unaniboo (Shetani)
Unaboo (Shetani) Acha kuniboo (Shetani)
Unaboo (Shetani) Unaniboo (Shetani)
Unaboo (Shetani) Unaniboo (Shetani)
Acha acha kabisa, acha acha kunifuatilia
Acha acha kabisa, acha acha kunifuatilia
Watch Video
About Unaniboo
More MWANA MTULE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl