Nilihama mtaa Lyrics

MUNJU REH Feat GWAASH & MOREH Kenya | Genge, Gengeton

Nilihama mtaa Lyrics


Nilihama mtaa siku hizi naishi kwa bar
Nilihama mtaa siku hizi naishi kwa bar
Nilihama mtaa siku hizi naishi kwa bar
Nilihama mtaa siku hizi naishi kwa bar

Nilihama mtaa siku hizi naishi kwa bar
Nilihama mtaa siku hizi naishi kwa bar
Nilihama mtaa siku hizi naishi kwa bar
Nilihama mtaa siku hizi naishi kwa bar

Moreh ndani ya club imejaa muraia
Jaza hiyo glass shukran ni kwa Jah
Champagne man wapi dollar man?
Bas bas, hiyo glass mos mos kama jam

Girl bend over, acha mi nishike bum
Nasafisha rada, mafisi watajam
Dj nipe track, kuna waka kuna burn
Kila mtu dance, bendover
Kila mtu dance, whine up your waist and stop
(We Give up)

Nilihama mtaa siku hizi naishi kwa bar
Nilihama mtaa siku hizi naishi kwa bar
Nilihama mtaa siku hizi naishi kwa bar
Nilihama mtaa siku hizi naishi kwa bar

Nilihama mtaa siku hizi naishi kwa bar
Nilihama mtaa siku hizi naishi kwa bar
Nilihama mtaa siku hizi naishi kwa bar
Nilihama mtaa siku hizi naishi kwa bar

Form zangu zimekuwa chingiri
Niko maji kila siku nikidai kuwateka
Kwenye klub ile kona utanipata everyday
Iwe day ama night, iwe noon ama dusk

Nilihama mtaa siku hizi naishi kwa bar
Usinisake kwenye doh usiogope kuitisha
Order nayo nitalipa, zimenice niko ridho
Na mabinti wamejipa wote wanadai gwaash

Nilihama mtaa siku hizi naishi kwa bar
Nilihama mtaa siku hizi naishi kwa bar
Nilihama mtaa siku hizi naishi kwa bar
Nilihama mtaa siku hizi naishi kwa bar

Nilihama mtaa siku hizi naishi kwa bar
Nilihama mtaa siku hizi naishi kwa bar
Nilihama mtaa siku hizi naishi kwa bar
Nilihama mtaa siku hizi naishi kwa bar

Nilihama mtaa nimelewa niko far
Mafala wako njaa, high table kuna raha
Huwezi blackout hata ukizima taa
Nawateka wote nawakunywa na hii glass

Back it up, gyal back it up
Switch it up gyal switch it up
Fling it up gyal, fling it up
Shake it, shake it, shake it
Cheki, cheki, cheki(Ona sasa)

Nilihama mtaa siku hizi naishi kwa bar
Nilihama mtaa siku hizi naishi kwa bar
Nilihama mtaa siku hizi naishi kwa bar
Nilihama mtaa siku hizi naishi kwa bar

Nilihama mtaa siku hizi naishi kwa bar
Nilihama mtaa siku hizi naishi kwa bar
Nilihama mtaa siku hizi naishi kwa bar
Nilihama mtaa siku hizi naishi kwa bar

Leave a Comment