Legea Lyrics
Legea Lyrics by MESEN SELEKTA
Oh Lord have mercy
Safi mi sina tetesi
Ila wanavuta jezi
Ka Samata hawaniwezi
Dudu linavokujaga, legea
Mashetani yashapanda, legea
Kata uno la Kitanga, legea
Ukiparamiwa kwa kitanda, legea
Oya kamekuja ghetto, oya masela
Oya masela, oya masela
Kamelegea kameseti, oya masela
Oya masela, oya masela
Akishika yenyewe, legea
Akishika penyewe, legea
Akishika yenyewe, legea
Akishika penyewe, legea
Akishika yenyewe, legea
Akishika penyewe, legea
Akishika yenyewe, legea
Akishika penyewe, legea
Legea, ooh legea
Legea, ooh legea
Legea, ooh legea
Aaah
Legea, legea
Legea, legea
Legea, ooh legea
Aaah
Legea, interneti
Legea, vailetti
Legea, pirati
Aaah
Legea, nangoja feti
Legea, okey fiti
Legea, acrobati
Aaah
Scooby dooby dooby mimi kasee
Nasombeka ngoma kwenye cassette
Supu supu supu supu zijinase
Washaleta toto zinywe na zisaze
Mi natoa hela kwenye pocket, balance
Ka hulegei nachomoa socket, balance
Liwe liwe liwe liwe socket, balance
One black boy freaky socket, balance
Nipe na mwanangu nyama niteteme
Hiyo mipanga yenu mi nitetemee
Unavyonilegeza wacha niseme
Hiyo milelisi haijamwaga nini?
Oya kamekuja ghetto, oya masela
Oya masela, oya masela
Kamelegea kameseti, oya masela
Oya masela, oya masela
Akishika yenyewe, legea
Akishika penyewe, legea
Akishika yenyewe, legea
Akishika penyewe, legea
Akishika yenyewe, legea
Akishika penyewe, legea
Akishika yenyewe, legea
Akishika penyewe, legea
Legea, ooh legea
Legea, ooh legea
Legea, ooh legea
Aaah
Legea, legea
Legea, legea
Legea, ooh legea
Aaah
Legea, interneti
Legea, vailetti
Legea, pirati
Aaah
Legea, nangoja feti
Legea, okey fiti
Legea, acrobati
Aaah
Dada please don't stay far wee
I know i wanna get your number
Umejifanya umesanda
Hukutaka ya gea
Acha kuwa pretender
Hujui leo sijakupenda
Umenitoa majasho sana
Mama kumbe hukulegea
Basi watoto, legea
Magentle, legea
Warembo, legea
Masingle, legea
Wa date ooh, legea
Wa msoto, legea
Wa mkong'oto ooh, legea
Madental, legea
Watoto, legea
Magentle, legea
Warembo, legea
Masingle, legea
Wa date ooh, legea
Wa msoto, legea
Wa mkong'oto ooh, legea
Akishika yenyewe, legea
Akishika penyewe, legea
Akishika yenyewe, legea
Akishika penyewe, legea
Akishika yenyewe, legea
Akishika penyewe, legea
Akishika yenyewe, legea
Akishika penyewe, legea
Legea legea legea aah
Legea legea legea aah
Legea legea legea aah
Watch Video
About Legea
More MESEN SELEKTA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl