Bolaz Lyrics
Bolaz Lyrics by MTALII
Namuota eeh,
Mambo yake yanafanya nina nasota
She is a monster
Daily twende klabu tukaruke ngoma
Namuota eeh,
Mambo yake yanafanya nina nasota
She is a monster
Daily twende klabu tukaruke ngoma
She say she wanna roll with a baller
Hataki watu msoto
Ati, I just wanna roll with a baller
Hataki watu msoto eeeh, wooah eeh
Analeta maringo
Ati I just wanna roll with a baller
Wo wowooo, analeta maringo
Namguza guza ni kama yeye hataki
Nikiwa nazo, ananiita hunny
Ni long time me nimemfuata manzi
But sasa nitamkuta ki-Mtalii
Me staki kutoa mashine
Nitahit after hit
Habari ya mjini nimekuja na hym
Me staki kutoa mashine
Nitahit after hit
Habari ya mjini nimekuja na hym
Nasema No, No, No, No, No, No
Leo akinipa itakuwa song
Mwambie No, No, No, No, No, No
No maaa eeh
She say she wanna roll with a baller eeh
Hataki watu msoto
Ati, I just wanna roll with a baller
Hataki watu msoto eeeh, wooah eeh
Analeta maringo
Ati I just wanna roll with a baller
Wo wowooo, analeta maringo
Ooh mamamaaa
Sweeti chocoleta
Ulalala, toto matata
Kiuno shangata, tako lake kubwa
Nasty girl, ameiva nyanya
Sema mama, unachotaka ma
Tuwashe shada ma, tupige mate mama
Me ndio sponsaree, Fathela, paparee
Unachotaka beib, wewe sema beiby
Utapata wee, nimechizi nawe
Twende beddy na wee, niku aah-aah aah-aah
Wanipa raha
Nashikwa na kichaa aah-aah
Basi njoo mama
Niku shigi-shigi dee
Kama Chibu-Chibudee
She say she wanna roll with a baller eeh
Hataki watu msoto
Ati, I just wanna roll with a baller
Hataki watu msoto eeeh, wooah eeh
Analeta maringo
Ati I just wanna roll with a baller
Wo wowooo, analeta maringo
Maringo...Maringo maringo
Maringo...Maringo maringo
Watch Video
About Bolaz
More MTALII Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl