MSUPA S Cheza Nami cover image

Cheza Nami Lyrics

Cheza Nami Lyrics by MSUPA S


 

We uko fiti mami me niko single
Apo kando si mami tunaweza mingle
Ukinicheki mami me na kulola na
Mi niko healed lakini unanikill mami

Nishadata na sina bundles(bundless)
Unameremeta kama diamonds(diamond)
Hapo nyuma I can see my bright future
Songea karibu mami ucheze na mimi

Cheza nami, cheza nami
Cheza nami mami cheza nami
Cheza nami, cheza nami
Cheza nami mami cheza nami

Me ndio ticha kwa hii daro
Ukicheza utaita tu paro
Si mi ndio best kwa hii baro
Wanasema ting ting badi malo

Namake doh bila salo
Mi si Adelle na bado unasema tu hallo
Make mulla, make mulla young girlo
Am very nice and that's sweet

I got the game--
Msupa S kwenye game
Make mulla, make mulla young girlo
Msiniletee, nitawapita nyoo...

Yeah, dance for me yeah
Baby dance for me yoh
Dance for me yeah
Kila day nakutaka mia

Baby dance for me yoh
Kila day nakutaka mia

Okey, 
Si una chokolata kama umetoka Wakanda
You're so hot bila shaka we ni hotcake
Si una demand even though bila supply
Kitu safi hapo kando hadi mwisho

Safi safi ata bila compressor
Nitavaa designer mami nikuimpress
Bring the love baby girl, be my blue
Mimi kwako wewe kwangu ni --

Me I love the things you do with your tongue
K Boy be my name and you know now(yeah)
Girl I like you like a G, like that so
Take it slow mami cheza na mimi

Cheza nami, cheza nami
Cheza nami mami cheza nami
Cheza nami, cheza nami
Cheza nami mami cheza nami

Baby dance for me yoh
Kila day nakutaka mia
Baby dance for me yoh
Kila day nakutaka mia

Aloyo, Aloyo

Watch Video

About Cheza Nami

Album : Cheza Nami (Single)
Release Year : 2019
Copyright : All rights to the owner.
Added By : Huntyr Kelx
Published : May 12 , 2019

More MSUPA S Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl