Yogo Yogo Lyrics
Yogo Yogo Lyrics by TENDEREZA
Mshike lembes alegee
Mamayoh, dara yogoyogo ni maithaa(uwii)
Kokoto mwana kakongoroke
Acha nimepiga chuma lolo iko sete
Livia unapigwa shot unashtuka
Achaa, acha kuwacha
Tulia, tulia
Naitisha kikiwaka
Shishi, mmh mmmh pea Nana
Shasha ni hadi matara
Achaa... acha kiwaru
Waka waka tunateketa
Napenda vile unamezea
Wololo kelele kama chekechea
Hauskii muraia ananyemelea
Tunazitoka, msilegee eeh
Utam toshea chupa
Chorea, pupa pupa
Twende vile namuna muna
Debe inachuna hapooo...
Debe inachuna hapooo...
Mshike lembes alegee
Mamayoh, dara yogoyogo ni maithaa(uwii)
Kokoto mwana kakongoroke
Acha nimepiga chuma lolo iko sete
Livia unapigwa shot unashtuka
Achaa, acha kuwacha
Tulia, tulia
Zinacheza zile dunda
Mamayoh kapewa zile thutha
Napenda vile anamada...
Manye aki we dada
Inanimenyelea,
Mmmh tembeza cargo
Hivi aha, mmh mmmh
Usilegee
Mamayoh, wajue umepewa
Pewa vitu tamu za wachache
Hizi hucheza na wajanja
Weweee wabe
Chini kwa chini
Ndio mchezo wa kisasa
Chini kwa chini
Ndio mchezo wa kisasa
Mshike lembes alegee
Mamayoh, dara yogoyogo ni maithaa(uwii)
Kokoto mwana kakongoroke
Acha nimepiga chuma lolo iko sete
Livia unapigwa shot unashtuka
Achaa, acha kuwacha
Tulia, tulia
Wanapandana eeey
Nikitamba na msee
Mwanyina pambana
Niwabambe na kuwa-banana
Nalima niuze nafaka na
Mdogo mdogo hakuna kuruka kamba
Legea kama vile mamba
Thombotha mmmh lia mama
Wewe unasikizia
Nina pigilia
Unashikilia
Inakwamilia
Achaa, acha kuwacha
Mshike lembes alegee
Mamayoh, dara yogoyogo ni maithaa(uwii)
Kokoto mwana kakongoroke
Acha nimepiga chuma lolo iko sete
Livia unapigwa shot unashtuka
Achaa, acha kuwacha
Tulia, tulia
Mshike lembes alegee
Mamayoh
Watch Video
About Yogo Yogo
More TENDEREZA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl