Ni Wewe Lyrics
...
Ni Wewe Lyrics by Msomali
J4D sound
Ah Vitamin ooohh
Adasco m2 Baaad
Ni wewe unaenifanya nijisikie nipo juu kwenye hii dunia
Ni wewe unaejua mpenzi wako sina pesa unanivumilia

Oya
Maisha bila wewe mi siwezi, maisha bila wewe hakuna maisha

Usitamani mali zao, wavuta shisha achana nao
My wee usitamani maisha yao, na ipo siku nitakuwa kama wao
Yala ooh napenda ukicheka mda wote unavyonikonyeza
Napenda ukicheka macho unavyolegeza
Napenda ukicheka mda wote unavyonikonyeza
Napenda ukicheka macho unavyolegeza
Wewe ndio langu chaguo, kwako wewe nimeweka kituo
My ooh langu chaguo, kwako wewe nimeweka kituo
Mapenzi ni kuvumiliana, nami mpenzi unanivumilia
Mapenzi ni kuvumiliana, nami mpenzi unanivumilia
Ni wewe unaenifanya nijisikie nipo juu kwenye hii dunia
Ni wewe unaejua mpenzi wako sina pesa unanivumilia
Ni wewe unaenifanya nijisikie nipo juu kwenye hii dunia
Ni wewe unaejua mpenzi wako sina pesa unanivumilia
Oya
Maisha bila wewe mi siwezi, maisha bila wewe hakuna maisha
Maisha bila wewe mi siwezi, maisha bila wewe hakuna maisha
Mahaba kibao hapa, mapenzi ndio kwako
Usiache mbachao kwa msala upitao
Baby unataka nini nikupe, niambie
Vyenye uwezo na mimi nitakupa mamae
Baby unataka nini nikupe, niambie
Vyenye uwezo na mimi nitakupa mamae
Unapohitaji nyimbo nzuri nakuimbia
Unapotaka kuondoka nakukumbatia
Unapohitaji kucheka, nami nacheka pia
Oohh, minacheka pia
Mapenzi ni kuvumiliana, nami mpenzi unanivumilia
Mapenzi ni kuvumiliana, nami mpenzi unanivumilia
We wanangu wa kusini moja, kucheleeee
Wee tajiri vunjaa bei
From Keko Funiture
Asandee, shaii dad
Awe god nyaucstar
Kima, a we mwanangu masoz
De smart Dash Papi
Aahh Msomali hapa
Oohooh Adasco Adascoo
Watch Video
About Ni Wewe
More Msomali Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl