
Ex Kanitukana Lyrics
...
Ex Kanitukana Lyrics by Msomali
J4d Sound
Aaaah vitamin Yooh
Aaah Adasco mtu mbayaa
Ona silalamikii kuachwa
Niliachwa zamani
Silalamikii kuachwa
Kwangu naona burudanii
Ila kinachoniuma Kwanini katukana nyumbani
Nyie ex akanitukana
Kaniona mimi ni sina maana
Ohh kaja nyumbani kunitukana mimi
Wee ex akanitukana
Kaniona mimi ni sina maana ohhh
Ohh mbele za watu kanitukana mimi
Ona mara aniite mbwa
Mara aniite paka
Kwanini alidate na paka
Mie Mara aniite paka
Mara niite mbwaa
Kwanini alidate na Mbwaa
Kwani kuachana vita kwani ni vipi
Mbona maneno yanamtoka
Oyaa eeh kwani kuachana vita
Kwani vipi mbona maneno anaropokaa
Ona mara aniite mbwa mara aniite paka
Kwanini alidate na paka
Mie Mara aniite paka mara niite mbwaa
Kwanini alidate na Mbwaa
Nyie uyo mpenzi wa leo
Ndio adui wa kesho miyayusho
Nyie uyo mpenzi wa leo
Ndio adui wa kesho miyayusho
Mama siamini tukikutana
Matusi tunatukanaa
Siamini tukikutana
Mbele za watu tunachambana
Siamini tukikutana
Matusi tunatukanaa
Siamini tukikutana
Mbele za watu tunachambana
Silalamikii kuachwa
Niliachwa zamani
Silalamikii kuachwa
Kwangu naona burudanii
Ila kinachoniuma
Kwanini katukana nyumbani
Nyie ex akanitukana
Kaniona mimi ni sina maana
Ohh kaja nyumbani kunitukana mimi
Wee ex akanitukana
Kaniona mimi ni sina maana ohhh
Ohh mbele za watu kanitukana mimi
Sawa nimekonda nimekondeana
Iyo shauri yako
Eti nimekonda nimekondeana
Fanya maisha yako
Sawa sina salio salio
Na wewe hauna kalio kalio
Oya sina salio salio
Na wewe hauna kalio kalio
Mimi sina salio salio
Na wewe hauna kalio kalio
Sandee Shaidaddiii
We tajiri Pm
From keko fenichaa eehh
Aa Vitamin Yoooh
Watch Video
About Ex Kanitukana
More Msomali Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl