Taki Taki Lyrics by MBUZI GANG


Mtaka cha mvunguni sharti ainame sharti ainame
Ngoma ni kali sharti ainame
Nkuruma zogo wee ni Kwame
Lewa tuliza idhi kanye
Nina taki ya nani, taki taki ya kuteka kina nani
Taki ya kucheza na majirani 
Taki taki yani taki ya ganji taki si funny

Staki, staki nyama ka si mbuzi
Venye nimeshona nimetumia lil uzi
Calories kwa, dick naeza fuck kii dunia
Wana claim wako sick
That’s why wanajikunia 
Hey dear
Beat ikidrop inabeat hadi fear
Ka unadai feature ma picha lipia
Just kidding though lipia
Just kidding though 
Mshamada kunyesha nimekill hii flow
Nimekill ego, mwana wa ingo
Niko na rende hakuna venye nitakaa single
Chunga hoe bro, wengi wanakaa shimo
Ukishachimba wanakutoka tu kijelimo
Mtaka cha mvunguni sharti ainane sharti ainane
Ngoma ni kali sharti ainame
Nkuruma zogo wee ni Kwame
Lewa tuliza idhi kanye 
Nina taki ya nani, taki taki ya kuteka kina nani
Taki ya kucheza na majirani 
Taki taki yani taki ya ganji taki si funny

Scorpion kanga weka signal, uuwii signal
Weee wewe ayayaya
Niko na taki ya kimama kimono kiko na harrier
Harrier yake na kerea ziko na garrier
Sharia ni ati nitokee nikitaka any uh
Anyway tuko maarea area tuko na henny uh
Ma uurgh za nini,nani makasiriko
Ka unataka basi kuja mahali niko
Kiko kikolo noo tuanze ma kickoffs
Kidogo kondiko kwa chodoro za gikosh
Mtaka cha mvunguni sharti ainame sharti ainame
Ngoma ni kali sharti ainame
Nkuruma zogo wee ni Kwame
Lewa tuliza idhi kanye
Nina taki ya nani, taki taki ya kuteka kina nani
Taki ya kucheza na majirani 
Taki taki yani taki ya ganji taki si funny

Kazi kwa mi daily mi hukuwanga na dooh
Ka msupa ni keki mi humuita sinyor
Monalisa flow, ishajipa nikimlisha
Mboko of course ye huwika eh
Mbuzi ndo rende rende rende kuchana
Mziki ni ge,je na imeshinda ya jana
Mfuko imeshona mtu tatu ni chamasi 
Tumekuja na njama mita moja alama
Kazi kuganga kazi hapa kuroga
Zangu zimenata nina ego imeshona
Shika huyo dada na ukikosa nabonya
Ati mbuzi ndo rende rende rende ogopa
Mtaka cha mvunguni sharti ainame sharti ainame
Ngoma ni kali sharti ainame
Nkuruma zogo wee ni Kwame
Lewa tuliza idhi kanye
Nina taki ya nani, taki taki ya kuteka kina nani
Taki ya kucheza na majirani 
Taki taki yani taki ya ganji taki si funny

Watch Video

About Taki Taki

Album : Taki Taki (Single)
Release Year : 2021
Copyright : ©2021 Black Market Records
Added By : Farida
Published : Sep 24 , 2021

More MBUZI GANG Lyrics

MBUZI GANG
MBUZI GANG
MBUZI GANG

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl