Mashine Lyrics
Mashine Lyrics by UMOJA SOUNDS
Umenifanya player nidate
Sasa nahitaji prayers
Naomba mniombee
Kwa maana nimekamatwa mzaeiya
Kwako sifurukiti iih iih
Kwako sifui dafuu uuh uuh
Kwako mi sibanduki iih iih
Kwako napata nafuu uuh uuh
Wewe kwangu ndio kila kituu
And you know that ndomana nafeel good
Wewe kwangu ndio kila kitu na unajua
Ndomana Naku feel tu
Nimedata na mahaba unayonipa
Ama kweli mami yani wewe mashine
Uuuh the way nafeel we ukiwa na mimi
Hatari faya hatari faya
Udambwi dambwi ubaki na mimi
Hatari faya hatari faya
Wewe kwangu ndio kila kituu
And you know that ndomana nafeel good
Wewe kwangu ndio kila kitu na unajua
Ndomana Naku feel tu
Nimedata na mahaba unayonipa
Ama kweli mami yani wewe mashine
Watch Video
About Mashine
More UMOJA SOUNDS Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl