Nditni Lyrics
Nditni Lyrics by MASTAR VK
Yoh Afande
Ati ghetto tuko wapi
Tuko nditny
Yole nditni, Umo tuko Nditni
Getho nditni, Kibich tuko nditni
Nditni nditni Eastlando tuko Nditni
Nditni nditni Ghetto tuko Nditni
Yole nditni, Umo tuko Nditni
Getho nditni, Kibich tuko nditni
Nditni nditni Eastlando tuko Nditni
Nditni nditni Ghetto tuko Nditni
Eastlando Ghetto hanaku mchecheto
Maji ni ya sewe hatuogi na dettol
Ni ma perma kwa meno chekin dental
Aanze na somer ka ngeus anadai lesson
Si hukutoka hadi hio toja beach uvae leso
Pewa ball ka ni nguna anapenda mchezo
Snichi ni mamkiki VK wewe banju na mziki
Daily jaba njoti na iliki, Vela na Whiskey
Choche baze risky
Yole nditni, Umo tuko Nditni
Getho nditni, Kibich tuko nditni
Nditni nditni Eastlando tuko Nditni
Nditni nditni Ghetto tuko Nditni
Yole nditni, Umo tuko Nditni
Getho nditni, Kibich tuko nditni
Nditni nditni Eastlando tuko Nditni
Nditni nditni Ghetto tuko Nditni
Nditni ukiona moshi kwa hewa ni throat chimney
Ukiona britnye anabounce ilitouch kidnye
Kama ni mbogi leo inatesa tulichai simply
Si ndo Gunners na hii mchezo hatuchezei Wembly
Bangu Dandora Koch Madu
Huruma kwa mabazu
Mathare na mlango Koma Easleigh na Buru
Big Up to Spice furu sauti ni tamu
Bado sa tuskie nduru
Nina kautamu na inakam na kauchungu
Mama anapenda kukuwatch tu asidai nduru
Yole nditni, Umo tuko Nditni
Getho nditni, Kibich tuko nditni
Nditni nditni Eastlando tuko Nditni
Nditni nditni Ghetto tuko Nditni
Yole nditni, Umo tuko Nditni
Getho nditni, Kibich tuko nditni
Nditni nditni Eastlando tuko Nditni
Nditni nditni Ghetto tuko Nditni
Watch Video
About Nditni
More MASTAR VK Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl