Kazoze Lyrics
Kazoze Lyrics by MASTAR VK
Ati nimeshika black paper ilimbea gat
Njoti ndo tool kwenye ng'ango ya ng'at
Iliki kashatta makoro kwa shirt
Zimerunda na alele walai zimefyat
Ah ni kamzozo leo ni kazozeze
Utanipata zanabe kazozeze
Njoti ndio tool niongeze
Kazoze kazoze
Ni kamzozo leo ni kazozeze
Utanipata zanabe kazozeze
Njoti ndio tool niongeze
Kazoze kazoze
Ni tumajani jaba safi inafanya silali
Maini mamatawi za kidigitali
Iano leo ni kazoze na jirani
Kwenye looku fisa tumepandisia mani
Si nywele lakini utanipata nikichana
Kaveve kanabamba mpaka wasichana
Kashike kazoze usiku na mchana
Alafu nikitema siwezi shindwa kudinyana
Kutema haifai taxin ifure hivo ndo mi nafurahi
Tuvunje na mogoka mpaka udhani nakuchai
Macho kukondoa ju ya venye zimewai, wewe
Ni kamzozo leo ni kazozeze
Utanipata zanabe kazozeze
Njoti ndio tool niongeze
Kazoze kazoze
Ni kamzozo leo ni kazozeze
Utanipata zanabe kazozeze
Njoti ndio tool niongeze
Kazoze kazoze
Ni iliki katool baite weka asili
Ongeza mastarter ongeza matawi mbili
Na leo gwethe kanashika kwa kina Willy
Mtu na wake Essy kirhumba ni wa mimi
Za murume zimeshika hadi anatoa shati
Njoti zimemuonyesha ni kutu akate ngwati
Ye hushika maini akiongeza mabati
Kazoze kazoze kasonge na wakati
Utanipata zabe karunde na kimera
Jaba ni ya mandevu ras ama masela
Naishikisha na kashatta kibao na mavela
Na before nikateme nakata jaba na kwela
Nimeshika black paper ilimbea gat
Njoti ndo tool kwenye ng'ango ya ng'at
Iliki kashatta makoro kwa shirt
Zimerunda na alele walai zimefyat
Ni kamzozo leo ni kazozeze
Utanipata zanabe kazozeze
Njoti ndio tool niongeze
Kazoze kazoze
Ni kamzozo leo ni kazozeze
Utanipata zanabe kazozeze
Njoti ndio tool niongeze
Kazoze kazoze
Watch Video
About Kazoze
More MASTAR VK Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl