
Nimemuachia Lyrics
...
Nimemuachia Lyrics by MARTHA MWAIPAJA
Mmmmhh
Oohooo ooh
Nimemuachia mungu mwenyewe, nimemuachia tuu
Nimemuachia baba mwenyewe, nimemuachia tuu
Nimemuachia yesu wangu, nimemuachia tu
Nimemuachia kila kitu, nimemuachia tuu
Muamivu yale, nimemuachia tu
Mateso yale, nimemuachia tu
Hukumu ile, nimemuachia tu
Nimemuachia, nimemuachia tu
Kukataliwa, nimemuachia tu
Kunenwa vibaya, nimemuachia tu
Kuumizwa moyo, nimemuachia tu
Machozi yale, nimemuachia tu
Dhihaka zile, nimemuachia tu
Uchungu ule, nimemuachia tu
Nimemwachia, nimemuachia tu
Mungu wetu sio mdogo, ni mkubwa
Yesu wetu sio dhafu, ana nguvu
Baba yetu sio kiziwi, anatusikia
Mungu wetu sio kipofu, anaona
Yeye sio bubu, anaongea
Yeye hapendelei, ni wa haki
Kesho yangu, nimemuachia tu
Nimemwachia ohoo, nimemuachia tu
Na mipango yangu, nimemuachia tu
Ninachokifanya, nimemuachia tu
Nitafika vipi kesho yangu, nimemuachia tu
Nitashinda vipi, nimemuachia tu
Watoto wangu, nimemuachia tu
Mipango yangu, nimemuachia tu
Vita yangu, nimemuachia tu
Ushindi wangu, nimemuachia tu
Nimemuachia baba yangu (nimemuachia tu)
Nimemuachia yesu wangu (nimemuachia tu)
Anisaidie hahah (nimemuachia tu)
Anipiganie, nimemuachia tu
Nitambulishe tena mwenyewe, nimemuachia tu
Nisimamie tena mwenyewe, nimemuachia tu
(mimi nimemuachia )
Hahahah haleluya
Nimemuachia yesu wangu
Nitafika salama, ameen
Watch Video
About Nimemuachia
More MARTHA MWAIPAJA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl