Salio Lyrics
...
Salio Lyrics by MARIOO
Kutoka alooh
Aah
Ooh yeah
Nashukuru nimejua kisa salioo
Ngoja kwanza nitafute hela
Kumbe shida sina salio
Acha basi nkatafute hela
Si ungesema kisa heee
Ndio inayofanya nikose raha
Si ungesema kisa heee
Ndio inayofanya nikose raha
Nilekaa, naumiza ndonga
Almanusura nidate
Aah nimekaa naumiza ndonga
Chupu chupu nipagawe
Maana usiku kucha unanisifia
Kukikucha unani cheat
Na tena
Mara kwa mara unaniambia
Kitu yangu ndio inayofiti
Mara paah natumiwa
Video zako unaliwa
Mate kwenye ndinga
Mara daah naambiwa
Una danga lako
Lenye umri wa kukuzaa
Nikawa nashangaa
Nashukuru nimejua kisa salioo
Ngoja kwanza nitafute hela
Kumbe shida sina salio
Acha basi nikatafute hela
Si ungesema kisa heee
Ndio inayofanya nikose raha
Si ungesema kisa heee
Ndio inayofanya nikose raha
Si kila kitu tulifanya kwaajii yako
Na wewe ukaniaidi utazikwa na mimi
Hata kitu niliwasha kwaajili yako
Ni wewe ndio ulitaka uvute na mimi
Maneno yako yaliniaminishaa
Na mi nikajiamini, comfortability
Vitendo vyako viliniaminisha
Kumbe sioo, negativity
Mara paah natumiwa
Video zako unaliwa
Mate kwenye ndinga
Mara daah naambiwa
Una danga lako
Lenye umri wa kukuzaa
Nikawa nashangaa
Nashukuru nimejua kisa salioo
Ngoja kwanza nitafute hela
Kumbe shida sina salio
Acha basi nikatafute hela
Si ungesema kisa heee
Ndio inayofanya nikose raha
Si ungesema kisa heee
Ndio inayofanya nikose raha
Watch Video
About Salio
More MARIOO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl