Pini Lyrics
...
Pini Lyrics by MARIOO
Kutoka alooh
Siri sio, siri tena
Nimefanikiwa
Kuutoboa moyo wake na pini to
To ooh too
Moyo wake na pini to
To ooh too
Mbio za sakafuni hazijawai
Kufika hata kwenye matoa
Inawezakanaje uniache
Halafu nikoumbee mema
Ila unacho kiona
Ndo kua uyaone sio hayo mataa
Inawezakanaje uniache
Halafu nikoumbee mema
Ubaya ubwela
Mi shabiki wa samba
Ukichapa la kushoto
Nachapa la kulia
Simuachii mungu
Usilete usela kwa msela
Mi sijawahi kushindwa
Ulinifanya vibaya
Ndo maana dua zangu
Zilifika kwa mungu
Nacheka meno 32 yote nje (ha ha ha)
Najifungiaga chumbani nazomea (oo oooh)
Nacheka meno 32 yote nje (ha ha ha)
Nimepata habari ex wangu anaumia aah
Siri sio, siri tena
Nimefanikiwa
Kuutoboa moyo wake na pini to
To ooh too
Moyo wake na pini to
To ooh too
Aii mama weeh
Mmh
Ouh ooh
Naona furaha
Ni ni nilinung’unika
Nilitokwa machozi yasiofutika
Nilisurubika
Nikapata stress za kutaka kufa
Si ulinidharau uuh uu uuh
Ulivyo pata wadau
Walivyo panda dau
Ukabitupa ukaniona nyang’au uuh uuh
Sahivi nimejipata
Umechacha umechuma unikome eeh
Si ulikuwa kama google
Unajua kila kitu ushajua haujui
Mwenzako nishajipata
Napewa ma pasi ya pacome eeh
Si ulikuwa kama google
Unajua kila kitu ushajua haujui
Nacheka meno 32 yote nje (ha ha ha)
Najifungiaga chumbani nazomea (oo oooh)
Nacheka meno 32 yote nje (ha ha ha)
Nimepata habari ex wangu anaumia aah
Siri sio, siri tena
Nimefanikiwa
Kuutoboa moyo wake na pini to
To ooh too
Moyo wake na pini to
To ooh too
Aii mama weeh
Naona furaha
Nasikia rahaa
To oooh too
Aii eeeh
To tolilo too
Moyo wake
Moyo wake na pini
Shauri yake
Kutoka
Watch Video
About Pini
More MARIOO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl