Nikazama Lyrics
Nikazama Lyrics by MARIOO
Sina baya na wewe
Wala sija kuku njia
Ila sometimes mahasira
Siunajua wanadamo aah
Sina noma an wewe
Wala sija kununia
Ila nime kublock kwasababu
Nikikuona nakosa hamu
Ya kula Hata kulala
Mwenzako kazi nashindwa
Hata kufanya
Umenlogea wapi..? we we aah
Nashindwa kula wala kulala
Mwenzako kazi siwezi
Hata kufanya
Umenlogea wapi..? we we aah
Hapana hujani loga
Huja niloga
Labda tu penzi lili noga
Nika kupenda kiukweli ukweli
Nika ingiaa
Nika zama
Nika zama
Nika zama
Nika zama
Liki tajwa jina lako oooh
Moyo unanidunda oooh
Yanijia sura yako oooh
Do do
Siwazi kurudia na sitaki ku rudia na
Ila sipendi kubakia na duku duku rohoni
Tuli pendana kwa shida tuka achana kifala
Sawa Jopo nililia
Mpaka ndugu waka sema ume niloga
Hapana kujani loga
Huja niloga
Labda tu penzi lili
Nika kupenda kiukweli ukweli
Kika ingiaa
Nika zama
Nika zama
Nika zama
Nika zama
Watch Video
About Nikazama
More MARIOO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl