Toka Far Lyrics
Toka Far Lyrics by MANOLO
Jaribu funga macho ufikirie
Ukumbuke we kule umetoka iye
Jaribu funga macho ufikirie
Ukumbuke we kule umetoka iye
Jana si kama leo no no no no
Jana si kama leo no no no no
Jana hakuna ugali leo kuna mpaka kitoweo
Jana si kama leo juu
Tumetoka far na ni mbali tunaenda
Tunaenda mbali tunaenda
Tumetoka far na ni mbali tunaenda
Tunaenda mbali tunaenda
Binadamu husahau kushukuru
Kila siku anatafuta marupurupu
Akona deni ameongeza ushuru
Amesahau jana kenya haikua hata na uhuru
Na sasa ni kucomplain
Anazidi kucomplain
Inabidi nirealize
Siko penye nilikua jana
Na si kwa nguvu zangu
Ametumia kilicho mkononi
Shida never lasts joy comes in the morning
There's no need to worry
Leo nikuhustle shilingi Nairobi
Kesho tunapaa kama ndenge angani
Kama ni mahater basi mi siwaoni
Siku hizi una gari ebu piga kahorni ndio tujue
Tumetoka far na ni mbali tunaenda
Tunaenda mbali tunaenda
Tumetoka far na ni mbali tunaenda
Tunaenda mbali tunaenda
Jaribu funga macho ufikirie
Ukumbuke we kule umetoka iye
Jaribu funga macho ufikirie
Ukumbuke we kule umetoka iye
Watch Video
About Toka Far
More MANOLO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl