Magoti Refix Lyrics
Magoti Refix Lyrics by MANOLO
Waite na waite wote waambie waje
Usiwache hata mmoja waumini wote waje
Tukusanyike tumuite Yesu kwa jina lake
Jina lenye nguvu na uwezo wote
Tukishindwa na mengine tusishindwe kuomba
Na kukiri kuwa we ni bwana
Tukishindwa na mengine tusishindwe kuomba
Wewe utatusikia kweli kile mi najua
Hakuna vita hatuwezi shinda kama
Bado tumesimama, twende kwa magoti
Hakuna vita hatuwezi shinda kama
Bado tumesimama, twende kwa magoti
Twende kwa magoti (Twende kwa magoti)
Twende kwa magoti (Twende kwa magoti)
Twende kwa magoti (Twende kwa magoti)
Twende kwa magoti (Twende kwa magoti)
Bibilia imenionya kuwa vita hivi eh
Ni vya kiroho bali si ki mwili
Naomba unifiche ndani yako, oh
Kwa kufunga na kuomba
Mlima gani wewe huwezi ondoa
Imani yangu nimeweka kwako
Mweza wa yote
Tukishindwa na mengine tusishindwe kuomba
Na kukiri kuwa we ni bwana
Tukishindwa na mengine tusishindwe kuomba
Wewe utatusikia kweli kile mi najua
Hakuna vita hatuwezi shinda kama
Bado tumesimama, twende kwa magoti
Hakuna vita hatuwezi shinda kama
Bado tumesimama, twende kwa magoti
Twende kwa magoti (Twende kwa magoti)
Twende kwa magoti (Twende kwa magoti)
Twende kwa magoti (Twende kwa magoti)
Twende kwa magoti (Twende kwa magoti)
Yako miujiza inipate kwa magoti
Uwepo wako unipate kwa magoti
Ufisadi utaisha tukienda kwa magoti
Ukabila nao, twende kwa magoti
Twende kwa magoti (Twende kwa magoti)
Twende kwa magoti (Twende kwa magoti)
Twende kwa magoti (Twende kwa magoti)
Twende kwa magoti (Twende kwa magoti)
Watch Video
About Magoti Refix
More MANOLO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl