Sirudi Home Remix Lyrics by MAANDY


Kabaya eey
Ukinicheki hivi nina shida kama soo
Kwa floor huwezi banju ju ya vile kumechrome
After kulegalise nasafisha na cologne
Nilipoteza key so siezi rudi home

Siezi rudi home, siezi rudi home
Nilipoteza key so siezi rudi home
Siezi rudi home, siezi rudi home
After kulegalise nasafisha na cologne

Niko na allergy ya stori za uduu
Na ndula si ni mbichi usinikanyagie mguu
Sherehe nilipenda simcard ikiwa YU
Sahii nakimbizanga maKeg na nusu

Kwanza napendaga form ikiweza
Alafu sosi kwenye meza kuzitoka toka chini hadi juu
Nikikuwekelea utateleza, misbehaviour kwa Impreza
Aki kesho si nitaumwa na miguu

Simjui jina but tunadarana tu kwa kona
Vile naslow whine mi naskia hio bakora
Excuse me sir knowing me is a no nah
Kama riba ni ganji basi ndio nitabonga

Niseme nisiseme (Sema)
Niseme nisiseme (Sema)
Nikitaka si nipewe
Na nikilewa si nilewe

Ukinicheki hivi nina shida kama soo
Kwa floor huwezi banju ju ya vile kumechrome
After kulegalise nasafisha na cologne
Nilipoteza key so siezi rudi home

Siezi rudi home, siezi rudi home
Nilipoteza key so siezi rudi home
Siezi rudi home, siezi rudi home
After kulegalise nasafisha na cologne

[Breeder LW]
Kejani siwezi rudi bila gal ako na booty
Siku hizi hapa mjini mapinji wako kwa nduthi
Jo usivae hills ka huko kwenu kuna vumbi
Namwitanga Sue but ye hupenda kuitwa Suzy

Na exile nimepigana tangu juzi
Bedsitter za Juja utadhani zina jacuzzi
Mbona? Ju vile hu host ma sleep-over
Ndunda ka imeshika hakuna comrade ako sober

Mziki niache kesho niko sure nitarudi gambling
Ka niko wambling sipendagi hata macuddling
Anasema gin ndo hufanya akuwe bubbly
Baby girl utawezana na hii something

Nina kichoki na kikosi sikosi
Juu ya moshi mi nafukuza Covid
Sirudi home ju hata budangu ako off
Tabia mbaya niliingiza mboch box

Ukinicheki hivi nina shida kama soo
Kwa floor huwezi banju ju ya vile kumechrome
After kulegalise nasafisha na cologne
Nilipoteza key so siezi rudi home

Siezi rudi home, siezi rudi home
Nilipoteza key so siezi rudi home
Siezi rudi home, siezi rudi home
After kulegalise nasafisha na cologne

[Ndovu Kuu]
Ah ah ah ah
Aki haturudi nyumbani
Your mama is my mama hii maisha si ni funny
Utashikwa na kiwaru dem yako akiniita hunny
Unamteka na Subaru mi niko na Nissan Sunny
Ni funny 

Na mabeshte wa Pamela wamekam
Na si tumefurahi sijui mbona wamejam
Msimu wa July kila chali ana madam
Na simu sireply hata ipigwe na madawa dawa

Na masponyo kuchachisha ni mathao thao
Brayo hajailalisha ni mabao bao
Tuko dunda utadhani ako kwao kwao
Kufaragiza utashindwa ni how

Ukinicheki hivi nina shida kama soo
Kwa floor huwezi banju ju ya vile kumechrome
After kulegalise nasafisha na cologne
Nilipoteza key so siezi rudi home

Siezi rudi home, siezi rudi home
Nilipoteza key so siezi rudi home
Siezi rudi home, siezi rudi home
After kulegalise nasafisha na cologne

Watch Video

About Sirudi Home Remix

Album : Sirudi Home Remix (Single)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
Published : Aug 10 , 2021

More MAANDY Lyrics

MAANDY
MAANDY
MAANDY

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl