Mtoto Anaweza Lyrics
Mtoto Anaweza Lyrics by MAANDY
Mtoto anaweza we we weza
Mtoto anatesa te te tesa
Mtoto anaweza we we weza
Mtoto anatesa te te tesa
Lesson ya kwanza tulia na uskize
Mi ni headmaster maswali usiulize
Hapa ni kuandika kalamu hadi iishe
30 centimeter na ruler si upime
Vile inawashwa ni kama bunsen burner
Form za titration, equation ni balance
Mi plus you na beshte yako ikiweza
Nahitaji tractor ju vile nimebeba
Oyaa handle de ting
Me handle, me handle de ting
Oyaa dontrol de ting
Me control, me control de ting
Mtoto anaweza we we weza
Mtoto anatesa te te tesa
Mtoto anaweza we we weza
Mtoto anatesa te te tesa
Yoh na fly over buda nikipiga na seng'enge
Maleft over chura tuliwachia masenge
Dem ni mjanja yupenda kucheza reggea
Ye hupandisia toppa akinipa nadunga denge
Na niko baesa nikikata machaser
Kusere na mariambez ngeus kama chweza
Hakuna kulegeza shikilia meza
Napenda ukienda chini juu ukicheza
Kwanza ukianika mi sijui kubembeleza
Nachapa natoa ndani kama MPESA
Mbegu ni ya 310 napanda ka Kanyari
Mi sijui ku Fuliza mi nacheza na MShwari
Mtoto anaweza we we weza
Mtoto anatesa te te tesa
Mtoto anaweza we we weza
Mtoto anatesa te te tesa
Watch Video
About Mtoto Anaweza
More MAANDY Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl