Linapotea Lyrics
Linapotea Lyrics by LODY MUSIC
Hadi nashindwa kulaumu moyo
Hakuna alienifosi ila tama zangu
Hataki nitafune ananiita kibogoyo
Nahisi nina mkosi penzi kaeka utandu
Nawe si uliweka utaniweka moyoni honey ama nakosea
Penzi limekata njiani mimi nashindwa kuamin daah mama unanionea
Ina maana umenishusha thamani umenifunza , na ulivyolelewa
Wananisheka jirani wanaona ya ndani penzi naelemewa
Ina maana imekata mipangoo haunipi mambo maana tumekaa sanaa
Najua nilitibua mambo baadala nilete jango nikaleta banana
Penzi linapoteaa (walaah penzi letu linapoteaa)
Tunapoteana walah mmh
Penzi linapotea eeyee
Junapoteana walah mmmh
Nikikuona mwenzako na mood inachange
Mimi na wewe nani mwanaume ama ndo unanichallenge
Ama shobo nimezianza mie si hesabu makosa
Penzi robo umeamua unipatie ndo maana
Nawe si uliweka utaniweka moyoni honey ama nakosea
Penzi limekata njiani mimi nashindwa kuamin daah mama unanionea
Ina maana umenishusha thamani umenifunza , na ulivyolelewa
Wananisheka jirani wanaona ya ndani penzi naelemewa
Ina maana imekata mipangoo haunipi mambo maana tumekaa sanaa
Najua nilitibua mambo baadala nilete jango nikaleta banana
Penzi linapoteaa (walaah penzi letu linapoteaa)
Tunapoteana walah mmh
Penzi linapotea na na eeyee
Junapoteana (junapoteana)
Walah mmmh (na na)
Lody music on this one
Lupaso kid on the map
Infinity
Watch Video
About Linapotea
More LODY MUSIC Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl