Itakucost Lyrics by LINEX SUNDAY MJEDA


The VOA
Alichagua wimbo mzuri
Akamuomba Dj aplay
Oh my God she was crying
She is heartbroken

Ni wife material
Amenipiga na kilio
Namuita babe ananiita bro 
Mapenzi kwake si mchongo

Toto downtown kaniacha hoi
Namtaa naposta ni everyday
Mi ninaplan za kumganda juu
Kama mtata --

Ma love bite groove dance
Ma kiss kiss kama yote
And she is so ready 
And more than sexy
She is so ready 
And more than sexy

Itakucost itakuumiza 
Kufosi kupata penzi
Ya mpenzi aliyeumizwa na mapenzi
Usinifananishe, usinilinganishe

Itakucost itakuumiza 
Kufosi kupata penzi
Ya mpenzi aliyeumizwa na mapenzi
Usinifananishe, usinilinganishe

(Sikufananishi na wala silinganishi)

Nitaaminije nitajuaje 
Uko tofauti na wengine
Nisiwe daraja la kila msafiri apite njia
Akinionyesha hisia zake

Niliyoyaona yananitosha
Yalinyonikuta yalinichosha
Pamoja na ukarimu wangu na upole
Ikawa sawa na bure

I used to cry everday
Furaha ya mapenzi nikasahau
Hata wema wangu alipopitia
Oooh akafa 

Itakucost itakuumiza 
Kufosi kupata penzi
Ya mpenzi aliyeumizwa na mapenzi
Usinifananishe, usinilinganishe

Itakucost itakuumiza 
Kufosi kupata penzi
Ya mpenzi aliyeumizwa na mapenzi
Usinifananishe, usinilinganishe

Ma love bite groove dance
Ma kiss kiss kama yote
And she is so ready 
And more than sexy
She is so ready 
And more than sexy

Itakucost itakuumiza 
Kufosi kupata penzi
Ya mpenzi aliyeumizwa na mapenzi
Usinifananishe, usinilinganishe

Itakucost itakuumiza 
Kufosi kupata penzi
Ya mpenzi aliyeumizwa na mapenzi
Usinifananishe, usinilinganishe

Watch Video

About Itakucost

Album : Dunia Nyingine (EP)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020 The VOA
Added By : Huntyr Kelx
Published : Aug 27 , 2020

More lyrics from Dunia Nyingine (EP) album

More LINEX SUNDAY MJEDA Lyrics

LINEX SUNDAY MJEDA
LINEX SUNDAY MJEDA
LINEX SUNDAY MJEDA
LINEX SUNDAY MJEDA

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl