
Ayeye Lyrics
Ayeye Lyrics by LINEX SUNDAY MJEDA
Usivunjike moyo haya majina tu yanapita
Kuna life after fame
Huna haja ya kuniacha
Tuianze safari nitakula kiapo
Cha utiifu na ukweli(Ayeye, eeeh)
Natamani niwe nawe, milele
Natamani mbingu na ardhi
Ziwe shaidi wangu mie
Sio kwamba nakuomba ndoa
Kwa sababu umri wangu unakwenda
Nimeshakwepa mishale mingi
Ndio maana wazi nasema nakupenda(Ayeye)
Nimemeeshwa, nimeoteshwa
Kuna kesho nasali kuniombea mema
Nimemeeshwa, nimeoteshwa
Kuna kesho nasali kuniombea mema
Hello, beautiful
It's you I've been looking for
Nikifaulu maisha
Baby uwe nyuma yangu(Ayeye yee)
Kwenye misango ya mawazo
Nisiwe peke yangu(Ayeye yee)
Nisiwe jeshi la mtu mmoja
Nikishiba nisahau Mwenyeza(Ayeye yee)
Maisha ni ya mafupi
Twende wakati wetu tukawe sabakina (Ah ah ah)
Kuja niwe na mfetu
Uwe na mfetu(Ah ah ah) Uwe na mfetu
Natamani niwe nawe, milele
Natamani mbingu na ardhi
Ziwe shaidi wangu mie
Sio kwamba nakuomba ndoa
Kwa sababu umri wangu unakwenda
Nimeshakwepa mishale mingi
Ndio maana wazi nasema nakupenda(Ayeye)
Nimemeeshwa, nimeoteshwa
Kuna kesho nasali kuniombea mema
Nimemeeshwa, nimeoteshwa
Kuna kesho nasali kuniombea mema
Hello, beautiful
It's you I've been looking for
Watch Video
About Ayeye
More LINEX SUNDAY MJEDA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl