X Lyrics
X Lyrics by KUSAH
Yaani baby oh baby, nikung'ate sikio baby
Mmmh baby ooh baby nataka tutete baby
Yaani mwenzio baby sikai umbea baby
Mmh mwenzio baby nataka ropoka baby
Mwenzako X kutwa haishi kunitaja
Na wako X domo ni wazi bwabwaja
Kiufupi ma X wanateseka na haja
Tunawapiga X si walitaka shindana
Si walitaka mpira wale tumewatoa bila
Wanapenda kuzira basi wamepoteza dira
Ndo basi mimi nawe ndo basi
Ndo basi hawatuwezi ndo basi
Ndo basi mimi nawe ndo basi
Ndo basi hawatuwezi ndo basi
Ana account fake na Insta ametufollow
Na hii clip itawaumiza roho
Na leo hawalali mpaka tommorrow
Wafe wenye wivu baby wewe
Naskia wanaroga wanamaliza waganga
Wako kakutwa Musoma
Wangu wamekutwa Tanga
Kiufupi ma X wanateseka na haja
Tunawapiga X si walitaka shindana
Si walitaka mpira wale tumewatoa bila
Wanapenda kuzira basi wamepoteza dira
Ndo basi mimi nawe ndo basi
Ndo basi hawatuwezi ndo basi
Ndo basi mimi nawe ndo basi
Ndo basi hawatuwezi ndo basi
Watch Video
About X
More KUSAH Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl