Najua Lyrics
Najua Lyrics by KUSAH
Mmmh baby, hivi ni wewe
Mmmh ni wewe
Hata siamini kama ni wewe
Mmmh ni wewe
Niliona huku mbona ni aibu
Mbona sina kosa unaniadhibu
Unafanya haya unanisulubu
Si ungesema kwamba baby najaribu
Ningewaza ningepata hata majibu
Mbona umeniweka kwenye majaribu
(Kusah mbona sikuelewi?)
Utanielewa si ulilewa
Walichotaka tiyari wamefanikiwa
Umenidhalilisha
Kufanya nimekuelewa
Mimi mwelewa
Je ningekuwa mimi wewe ungenielewa
Umeninyong'onyesha (Dah unanichanganya)
Ukiwa nyumbani boo, unanijaza tu
Eti ni mimi tu niko mwenyewe
Super makongo juu, kwa mume mwezangu
Unanikatili
Mwambie vya kuiba, kwa ndani vina miiba
Mi mwanaume mwenzie ananiumiza
Si ungemwambia kwao, kwako sijiwezi umenifunga kamba
Nimekubali kwamba, yeah nikidunda umenishinda mwamba
Na yule wa mbezi dalali si umetoka naye
Wala mi sina shida naye
Ila jua nini jua
Na yule bodaboda kala uroda kakuroga eh
Umenidhalilisha dada wee, mmmh
Mbona umefanya vibaya baby wee
Umenikatili
Ilegeza baya hunnie wee
Umezima kandili mmmh
Watch Video
About Najua
More KUSAH Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl