Aga Lyrics
Aga Lyrics by KUSAH
Hmmmm...
Baby
Nina kaneno niseme na wewe
Tega sikio makini unielewe
Kwamba wako wengi wazuri ila kwangu ni wewe
My sweety, chunga usije niacha mwenyewe (hmm)
Beiby oooh, beiby oooh
You are the only in my heart ooh
Beiby oooh, beiby oooh
Umenifunga hadi macho
Ntalia (henhe), ntalia (hmmm)
Ah beiby Ah baby.... I love you
Ntaumia ntaumia ma
Utanikoroga koroga akili ma
Ntalia, ntalia
I love you...I love you (oooh beiby)
Ntaumia ntaumia mama (eeh)
Hee hii
Alivyojaza huko nyuma (aga)
Kama kabeba mlima eeh(aga ga )
Mi hoi nguvu sina (aga)
Iyeyeye...
Kama ni boat za vinande (aga)
Roho itaniuma ukiniacha (aga)
Iyeyeye yelele (aga)...
Shindu shindua ukinuna nitacheka
Nipe kitandani vyote
Mpaka kwenye mkeka
Ooh beiby
Milio fulani kama toni za tarumbeta
Kama ni pambano
We mayweather mi ni chekaa
Asi beiby, we ning'ang'anie
Hujalo acha wacha nikumwagie
Fanya dari we uning'inie
Ah yeyeye...
Ntalia (henhe), ntalia (hmmm)
Ah beiby Ah baby.... I love you
Ntaumia ntaumia ma
Utanikoroga koroga akili ma
Ntalia, ntalia
I love you...I love you (oooh beiby)
Ntaumia ntaumia mama (eeh)
Hee hii
Alivyojaza huko nyuma (aga)
Kama kabeba mlima eeh(aga ga )
Mi hoi nguvu sina (aga)
Iyeyeye...
Kama ni boat za vindade (aga)
Roho itaniuma ukiniacha (aga)
Iyeyeye ... yelele...
Aah oooh hodari
Togo meli mix na sukari
Mwenzako silali eeeeeh
Wowowo hodari
Mwenzako kuku na kidelima
Yaani mwenzako silali yeyeyeeh....
Watch Video
About Aga
More KUSAH Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl