Mamelody Lyrics by KIKOSI KAZI


Hey Mr DJ hii ngoma kali upige
Hebu punguza bana bana bro
Ndio tuje fanya na Jeezy
Wale Jide usiniulize ukaanza bana bana do

Na kama flow sisi ndo ma main deal
Gang pillers pain killer Panadol
Acha mapuzi nishaga maana njozi
Si bando hukosi kupost madrama tu

Kuna mengi ya kufanya zaidi ya kushinda maskani
Na kudanganyana eti nyie ndo elite
Hey please stop hio ufala cheki main tricks basics
Wala sio ufala if you hate this

Trash back Ads, yeah am back ladies
Na matracks daily can't stop lately
Wanahema pumzi ndogo route ndogo hawawezi
Mbio zetu mtherfckin rap lazy

Nipo vile ninatakuwa nipo ---

Watch Video

About Mamelody

Album : Mamelody (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Dec 28 , 2020

More KIKOSI KAZI Lyrics

KIKOSI KAZI
KIKOSI KAZI
KIKOSI KAZI
KIKOSI KAZI

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl