Nakupenda Lyrics
Nakupenda Lyrics by KIDUM
Umekuwa ukizusha
Ati kwamba mimi nakucheza
Ati simu zangu nikipiga huchukuwi
Nashindwa ni ni mbaya nimefanya
Wenye nia mbaya
Hakika hawataki kutupa amani
Mambo yao nikubuni hali ya sitofahamu
Ili mwisho unichukiye
Saa zingine mimi uhisi nishike mtu mashali
Na nianze vita
Bahati mzuli
Mimi si aina mtu wa ugomwi
My baby nime umbwa tu nikubembeleze
Lli moyo wako unirudiye
Ndiyo sababu nakupa aka kawimbo (nakupenda)
Chote unataka minitatenda
Nakupenda mpenzi wangu wacha wasi wasi
Ndiyo sababu nakupa aka kawinbo (nakupenda)
Chote unataka minitatenda
Usiwe na wasi wasi mpenzi (nakupenda)
Mpenzi wangu wacha wasi wasi
Inasikitisha sana
Aya mambo yakutuchonganisha
Yaani mtu mzima mwenye akili timamu
Anaweza aje kuwa mdaku kiyasi hicho
Nimepakwa tope kwakuwekelewa thambi zote
Wengine utaka nisulubiwe msalabani wapenzi lako
Wachana nao
Wamejawa na wivu kwa roho zao
Ma baby nimeumbwa tu nikufurahishe
Mambo mengine yote ni upuuzi kwagu
Hakikisho kutoka kwangu baby (nakupenda)
Chote unataka minitatenda
Siitaji bunge kuni tetea (nakupenda)
Wala bunge la seneti
Mpenzi wangu wacha wasi wasi
Siitaji bunge kuni tetea (nakupenda)
Chote unataka minitatenda
Take it for me, take it for me (nakupenda)
Mpenzi wangu wacha wasi wasi
Siitaji bunge kuni tetea (nakupenda) Ohh ohh
Hakikisho kutoka kwangu (kwangu)
Hili ni hakikisho
Hasema hili ni hakikisho ooh (nakupenda)
Chote unataka minitatenda
Chote unataka minitatenda Chote unataka minitatenda
Take it for me, take it for me (nakupenda)
Chote unataka minitatenda
Nakupenda, nakupenda
Mpenzi wangu wacha wasi wasi
Watch Video
About Nakupenda
More KIDUM Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl