KIDUM Corona  cover image

Corona Lyrics

Corona Lyrics by KIDUM


Virusi  hivi vya corona vimetufanyia
Binadamu kote ulimwenguni
Halafu maambukizo zinaenda kwa Kasi
Virusi hivi vimeleta taaruki kwote ulimwenguni shughuli zote zimekwama

Sababu la gonjwa hili hatari
Tajiri kwa masikinj Corona ugonjwa hili 
Halitambui tushikamane tupambane na adui
Wowo nasema jangili hatari tuzingatie maagizo ya serikali 

Mamlaka ya afya wanafanya kila juhudi ili  Mimi na wewe tuwe Salama janga hili limeporomosha Uchumi ooooh mataifa yote yametangaza Hali hatari
Tuko vitani na adui tusiyemuona na macho
Anaitwa Nani Corona Virusi inauwa
Corona Virusi haina dawa

Corona inauwa Corona Virusi haina dawa
Ukistaajabu ya Musa nakuambia bado utaona ya virauni 
Viwanja vya ndege ,makanisa ,Mipaka ya nchi
Vyote vimefungwa
Mikusanyiko ya umma imepigwa marufuku ili kutulinda
Jamani hili janga limeangamiza dunia
Tufuateni maagizo tunayopewa
Nisikize ugonjwa hili hatari 
Tuzingatie maagizo ya serikali

Tuko vitani na adui tusiyemuona na macho
Corona Virusi inauwa ,Corona Virusi inauwa
Corona Virusi haina dawa 
Corona Virusi haina dawa ,Corona Virusi inauwa

 

Watch Video

About Corona

Album : Corona
Release Year : 2020
Copyright : ©2020
Added By : Its marleen
Published : Apr 14 , 2020

More KIDUM Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl