Kutu Lyrics
Kutu Lyrics by KABAGAZI
Unacheza chezwa hamwachani
Hamwachani na bado hamwachani
Hautowangi kitu hupewangwi
Haupewangwi ndo maana haupewangwi
Kutu kutu kutu kutu
Kutu kutu kutu kutu (Aiii)
Kutu kutu kutu kutu (Aiya)
Kutu kutu kutu kutu (Aiii)
Kutu kutu kutu kutu (Aiya)
Asalaam aleikum, aleikum salam kabagazi
Mbona umetii kama mandazi
Bana mastress sina manzi
Ati hatoi kitu roho safi apotee
List jo ni ndefu akae kando angojee
Mi nataka dem ka Akothee
Bila pesa haiwezi haiwezi
Sema kweli una kutu, una kutu una kutu
Ju hunanga mtu, hunanga mtu
Kila mtu amekushuku
Ndo maana wamekupiga marufuku
Unacheza chezwa hamwachani
Hamwachani na bado hamwachani
Hautowangi kitu hupewangwi
Haupewangwi ndo maana haupewangwi
Kutu kutu kutu kutu
Kutu kutu kutu kutu (Aiii)
Kutu kutu kutu kutu (Aiya)
Kutu kutu kutu kutu (Aiii)
Kutu kutu kutu kutu (Aiya)
Boy umeagiza nakuchoresha giza
Pyramid scheme na mchezo za kuigiza
Naskia makelele next door
Kumbe kuna what, kumbe kuna war
Kuna Oneboy flani amefichwa kabati
Oneboy flani aliuliza tu ni aje
Na ndio tofauti, tofauti yangu mi na wewe
Ni evident una kutu, ju hunanga mtu
Alafu kila gal anakushuku
Ndo maana wamekupiga marufuku, marufuku
Unacheza chezwa hamwachani
Hamwachani na bado hamwachani
Hautowangi kitu hupewangwi
Haupewangwi ndo maana haupewangwi
Kutu kutu kutu kutu
Kutu kutu kutu kutu (Aiii)
Kutu kutu kutu kutu (Aiya)
Kutu kutu kutu kutu (Aiii)
Kutu kutu kutu kutu (Aiya)
Never on toes yaani daily we mlevi
Aiayayyayaya ushenzi
Huwezi piga pozi kali moja tu mneti
Aiayayyayaya huwezi
Bazuu wa uduu hujui kusaka hizi peni
Mwanaume piga hustle na uwache kuwa mlazy
Unajiconfuse ndo maana bado una wengi
Na kama huwezi chagua wachana na mapenzi
Wachana nani haiwezi haiwezi, haiwezi
Round this nina goals kama Messi
Nimekuja kuharibu nawaacha mkiwa messy
Na kutoa kutu ni lazima....
Unacheza chezwa hamwachani
Hamwachani na bado hamwachani
Hautowangi kitu hupewangwi
Haupewangwi ndo maana haupewangwi
Kutu kutu kutu kutu
Kutu kutu kutu kutu (Aiii)
Kutu kutu kutu kutu (Aiya)
Kutu kutu kutu kutu (Aiii)
Kutu kutu kutu kutu (Aiya)
Unakulwa na ma umbu ju hauna mtu
Siri ya mluhya uliza kuku
Jina ni shikuku na unajishuku
Puss puss inazamisha chuchu
Ate kijana good bad manners
Nalima kama farmer eh inastammer
Venye nawahanya ah mafaa jabas
Anagwara nikigwara
Can't I, Can't I
Ananyimwa sana nanyonga tie
Ukiwa mafutani niko na karai
Huwezi kupenda beef kuliko masai
Kutu kutu kutu kutu
Kutu kutu kutu kutu (Aiii)
Kutu kutu kutu kutu (Aiya)
Kutu kutu kutu kutu (Aiii)
Kutu kutu kutu kutu (Aiya)
Watch Video
About Kutu
More KABAGAZI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl