2021 Twendi Twendi Wani Lyrics
2021 Twendi Twendi Wani Lyrics by JUSTINA SYOKAU
2021 eeh, Twendi Twendi Wani
2021 eeh, ni mwaka wa restoration
Mwaka wa 2021 ni mwaka wa kurejeshewa
Kilichopotea 2020
Walisema nizuiwe nisiimbe mwaka mpya
Kwa sababu eti niliroga mwaka 2020
Mungu amenituma tena nikueleze
Mwaka 2021 ni wa restoration
2021 eeh, Twendi Twendi Wani
2021 eeh, ni mwaka wa restoration
2021 eeh, Twendi Twendi Wani
2021 eeh, ni mwaka wa restoration
Twendi twendi, ulikuwa mwaka wa machozi
Watu walipoteza kazi na biashara
Watu waligonjeka wengi wakafa
Lakini mwaka wa 2021 ni mwaka wa restoration
2021 eeh, Twendi Twendi Wani
2021 eeh, ni mwaka wa restoration
2021 eeh, Twendi Twendi Wani
2021 eeh, ni mwaka wa restoration
Hata kama mambo yalikuwa magumu
Usikufe moyo
Mungu atakukumbuka mwaka wa 2021
Usikufe moyo ama kukata tamaa
Biashara iliyozama mwaka 2020
Mungu anairejesha mwaka 2021
Kazi yangu iliyopotea mwaka uliopita
Mungu wangu ameahidi nitarejeshewa
Pesa zangu zilizozama mwaka 2020
2021 double potion ni yangu
2021 eeh, Twendi Twendi Wani
2021 eeh, ni mwaka wa restoration
2021 eeh, Twendi Twendi Wani
2021 eeh, ni mwaka wa restoration
2021 ni restoration
2021 ni kurejeshewa
2021 ni restoration
2021 ni kurejeshewa
2021 ni kupaa juu tu
2021 sitarudi chini
2021 ni restoration
2021 ni kurejeshewa
2021 nitaongoza kwa biashara
2021 nitakuwa na profit
2021 ni restoration
2021 ni kurejeshewa
2021 nikuekeza
2021 mavuno kwa wingi
2021 ni restoration
2021 ni kurejeshewa
2021 connection kwa wingi
2021 mipaka ipanuke
2021 ni restoration
2021 ni kurejeshewa
Watch Video
About 2021 Twendi Twendi Wani
More JUSTINA SYOKAU Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl