Nipe Mkono Lyrics
Nipe Mkono Lyrics by JUA CALI
Mapenzi ni safari ndefu
Nipe mkono tufurahi
Tunacheka
Leo tunacheza
Walishasema sana mengi
Na siku yetu imefika
Tunacheka
Leo tunacheza
Kusema tu ukweli umenibeba
Roho yangu yote ishapenda
Kutoka siku ya kwanza niilikukemba
Bila kuambiwa nilijua tu umeniweza
Si tabia si vile umevaa
Si maumbile si vile umengaa
Unanipeleka dunia ingine
Mbali sana na hawa wengine
Wasikutishe me siwatambui
Wasikuambie kitu me siwajui
Hawataki kuona tukisonga
Nipe mkono wajue tuko pamoja
Mapenzi ni safari ndefu
Nipe mkono tufurahi
Tunacheka
Leo tunacheza
Walishasema sana mengi
Na siku yetu imefika
Tunacheka
Leo tunacheza
We ni wangu hii ni ya milele
Mapenzi ya adabu haina kelele
We ni zawadi nilipewa na mungu
Shukrani kwake mtu wa nguvu
Alikuchonga ukachongeka
Wengine walibondwa wakabondeka
Nani hapa yukona mwili ka yako
Nani hapa yukona mguu ka zako
Tembea kila mahali wakuone
Kama kitabu wakusome
Watajaribu hawakufikii
Nipe mkono wajue hatushikiki
Mapenzi ni safari ndefu
Nipe mkono tufurahi
Tunacheka
Leo tunacheza
Walishasema sana mengi
Na siku yetu imefika
Tunacheka
Leo tunacheza
Kitu yoyote unataka me niko hapa
We itisha tu na utapata
Leo ni siku yako jiachilie
Piga nduru uko nyuma wakuskie
Watajuaje love iko kwa hewa
Na si mara nne kila siku unapewa
Asubuhi works nikuchelewa
Mapenzi moto mnanielewa
Mapenzi ni safari ndefu
Nipe mkono tufurahi
Tunacheka
Leo tunacheza
Walishasema sana mengi
Na siku yetu imefika
Tunacheka
Leo tunacheza
Watch Video
About Nipe Mkono
More JUA CALI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl