Chafuzi Lyrics
Chafuzi Lyrics by JUA CALI
Kazi ni kuwaua kazi ni kuchafua
20 years kwa game na bado nasumbua
Mnangoja tuzame mtangoja sana
Ka kujinyonga nimekaza kamba
Hakuna uoga hapa najiaminia
Hakuna kutembelea hapa najikimbilia
Nabomoa kila kitu kwa njia yangu
Stambui compe mi naskiza tu ngoma zangu
Chafua ka mimi ndo usafishe rada
Kuwa ka mimi uone vile utawa-
Vumilia mtu wangu sahao mambo ya jana
Dunia ni yako we tesa kwa sana
Babylon walaghai hadi kura wanachai
Tunashinda jua kali wanashinda kwa kirai
Ka rada ya maplain niko riko bila gang
Jaribu kumaintain
Kula mbachu brejin
Coz wangu alishikwa tena
Bila cashbail atazama tena
-- ikitublein hatutanego tena
Kidevu ya jaw asishikishe tena
Nilimteka once sikumvutia ever
Kamboka kakijipa nabatara tena
Nikiwa matire siwezi hema naihenya
Alitoboka asifikishwe mbwenya
Mtu wangu nachoma ka jua ya saa sita
Pen kwa mkono ngoma napika
Pakua mtu wangu kula shiba
Anua mtu wangu kula vimba
Kuwa home naogopa Corona
Toa noma songa kwa kona
Kwa quarantine hakuna kutoka
Msoto kwa sana hakuna kuomoka
We ni nani watu wamekusahau
Usitoke hivo kwa game funga bao angalau
Mtu wangu maliza hii kitu vile inafaa
Ama zikiwa chungu utalala njaa
Watch Video
About Chafuzi
More JUA CALI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl