
Hakuna Lyrics
Hakuna Lyrics by ADAWNAGE
Tunakupa sifa zote, Bwana wa Mabwana
Uketiye kwenye Enzi, Mfalme wa wafalme
Makerubi, Maserafi, wote wakutazamia
Ulimwengu umejawa, utukufu wako Bwana
Hakuna, Mungu kama wewe
Hakuna, kamwe kama wewe
Hakuna, wa kulinganishwa nawe
Hakuna, Mungu kama wewe
Hakuna, hakuna, kamwe kama wewe
Nani aokoa (ni wewe)
Nani anaponya (ni wewe)
Nani abariki (ni wewe)
Mungu kama wewe
Nani anaweza (ni wewe)
Nani mkombozi (ni wewe)
Nani anaweza (ni wewe)
Mungu kama wewe
Mtetezi wangu (ni wewe)
Bwana wa mabwana (ni wewe)
Bwana wa majeshi (ni wewe)
Mungu kama wewe
Watch Video
About Hakuna
More ADAWNAGE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl