Karibu Lyrics
Karibu Lyrics by AGIE MUGENI
Karibu ewe Yesu
(Alexis on the beat)
Karibu, karibu
Karibu, karibu
Karibu, karibu
Karibu, karibu
Niko hapa mbele zako
Ni mimi na wewe pekee
Hakuna mwingine baba karibu
Wewe ni baba mi mtoto wako
Natamani ushirika na wee
Karibu Yesu, karibu
Nakungoja Yesu, nakungoja roho
Nikujue zaidi karibu
Ya dunia nimeacha nyuma
Hata vya mwili nimeweka kando
Nionyeshe Baba, nionyeshe
Nionyeshe visivyo vya mwili
Nionyeshe makuu ya kiroho
Nionyeshe ukuu wako karibu
Karibu, karibu
Karibu, karibu
Ooh karibu Yesu, karibu
Karibu, karibu
Natamani uwepo wako
Natamani ushirika nawe
Natamani uwepo wako karibu
Nena nami ewe roho
Nifunulie mawazo mema
Karibu Yesu, karibu
Natulia kwenye uwepo wako
Natulia kwenye mazao yako baba
Karibu Yesu, karibu
Nakungoja ewe roho
Nakungoja ewe Yesu
Nakungoja baba yangu karibu
Karibu, karibu
Karibu, karibu
Karibu, karibu
Karibu, karibu
Karibu, karibu
Karibu, karibu
Karibu, karibu
Karibu, karibu
Watch Video
About Karibu
More AGIE MUGENI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl