Yahweh Lyrics
Yahweh Lyrics by SANAZIKI
Let me talk about your love
Agape love, Oh lord you reign
So let me sing about your love
Hosana, I know you are nice ooh
Nimetembea tembea duniani kote
Nikitafuta amani nikapata kwako
Nimezungukazunguka duniani kote
Nikitafuta upendo nikapata kwako
(Yahweh)
Najua unanipenda(Penda penda sana)
Unanijali(Jali-jali mimi)
Hakuna kama wewe eeh
Manake gongo lako
Na fimbo yako, lanifariji mimi
Wewe ni Mungu
Hakuna kama wewe(Eiiye uu)
Wewe ni Mungu
Hakuna wewe(Eiiye uu uu)
[Chorus]
Yelelelelei, Yahweh
Yahweh Yahweh, Yahweh
Yahweh, Yahweh
Yahweh, Yahweh Yahweh
Yahweh, Yahweh
Yahweh Yahweh, Yahweh
Yahweh, Yahweh
Yahweh, Yahweh Yahweh
Nobody can love me like you do
Nobody can treat me like you do
Eeei Yahweh(Eih Yahweh)
Nobody can love me like you do
Nobody can treat me like you do
Eeei Yahweh(Yahweh)
Unawafany tasa mama
Mayatima wakuita baba
Unafariji wanaolia
Umenivika heshima
Mbele ya walonidharau hadharani, Yahweh
Umenivika heshima
Mbele ya walonidharau hadharani, Yahweh
Umenifuta machozi
Nililolizwa na wanadamu wewe ni Mungu
Umenifuta machozi
Nililolizwa na wanadamu wewe ni Mungu
Umeniponyesha kidonda
Nililowekwa na wanadamu
Hakuna kama wewe Yahweh
[Chorus]
Yelelelelei, Yahweh
Yahweh Yahweh, Yahweh
Yahweh, Yahweh
Yahweh, Yahweh Yahweh
Yahweh, Yahweh
Yahweh Yahweh, Yahweh
Yahweh, Yahweh
Yahweh, Yahweh Yahweh
Watch Video
About Yahweh
More SANAZIKI Lyrics
Comments ( 1 )
I love this song...
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl