Promise Lyrics
Promise Lyrics by Josephs Quartzy
Je utakua nami wakati wa raha tu
Au kwa shida utakua na miguu
Will you stay by my side uhuu
Promise my girl i wanna know
Je utakua nami wakati wa raha tu
Au kwa shida utakua na miguu
Will you stay by my side uhuu
Promise my girl i wanna know
Nambie baby girl nambie eeeh
Nambie promise my girl i wanna know ah
Je utakua nami wakati roho inapain
Wakati ambapo sina heat mtaani
Wakati ambapo sisikiki redioni
Machoni sina nuru naona kiza usoni
Wakati ambao sina kitu mfukoni
Wakati ambao nina huzuni moyoni
Ile time ambayo siheshimiki mtaani baby
Wakati ambao wakati ambao
Naonekana fukara siku mbili sijala wana
Wanashinda na buti mimi kutwa na ndala
Sina hata pa kulala time mfukoni vumbi sina hela ya kula
Baby will you handle this?
Hutoniacha gizani hata wakikudiss?
Je utabaki na mimi?
Hatima yetu vipi?
Hutonishusha njiani So kwa promise amini je utabaki na mimi
Will you handle this?
Hutoniacha gizani hata wakikudiss?
Je utabaki na mimi? Hatima yetu vipi? Hutonishusha njiani
So kwa promise amini je utabaki na mimi
Je utakua nami wakati wa raha tu
Au kwa shida utakua na miguu
Will you stay by my side uhuu
Promise my girl i wanna know
Je utakua nami wakati wa raha tu
Au kwa shida utakua na miguu
Will you stay by my side uhuu
Promise my girl i wanna know
Nambie baby girl nambie eeeh
Nambie promise my girl i wanna know
Baby nauliza je utabaki na mimi
So kama freezer kama maji mtungini
Tulia na mimi hao wengine usiwamini
Usihesabu miaka moja ama sabini
Ningoje mimi tupande pamoja kutoka chini
Nazi wanadrive range ya kwetu ni Lamborghini
Isiwe casual unipende kutoka moyoni
Don't replace hata kama sina madini
Ok baby let's shine in the darkness
If I'm wrong i gonna ask for forgiveness
Let me let me call you a princess
Come and hold me never leave a distance
Will you handle this? Hutoniacha gizani hata wakikudiss?
Je utabaki na mimi? Hatima yetu vipi?
Hutonishusha njiani So kwa promise amini je utabaki na mimi
Will you handle this? Hutoniacha gizani hata wakikudiss?
Je utabaki na mimi? Hatima yetu vipi? Hutonishusha njiani
So kwa promise amini je utabaki na mimi
Je utakua nami wakati wa raha tu
Au kwa shida utakua na miguu
Will you stay by my side uhuu
Promise my girl i wanna know
Je utakua nami wakati wa raha tu
Au kwa shida utakua na miguu
Will you stay by my side uhuu
Promise my girl i wanna know
Nambie baby girl nambie eeeh
Nambie promise my girl i wanna know
Nambie baby girl nambie eeeh
Nambie promise my girl i wanna know
Watch Video
About Promise
More Josephs Quartzy Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl