Mchele Lyrics
Mchele Lyrics by JOH MAKINI
Mchele, mchele, mchele, mchele
Mchele, mchele, mchele, mchele
Mchele, mchele, mchele, mchele
Mchele, mchele, mchele, mchele
Nautaka, mchele
Unanitaka, mchele
Naufuata, mchele
Unanifuata, mchele
Nautaka, mchele
Unanitaka, mchele
Naufuata, mchele
Unanifuata, mchele
Nisiagize vibaba nivute shehena
Hunipati vibaba vikao Serena
Tusifanye vishow soo tujaze arena
Tusikwame ki-Bongo, ki-Zari na Wema
Yoh, am not guilty you got to feel me
Ukata ni disaster, you feel me
Ushanta ni kupata mjini
La sivyo, utazima data mjini
Nyumbani nanga inapaa
Game loaded chapaa
Hewani mi ndo nakam
Hapa mchezoni papa
Hapa ulingoni baba
Nalea wengi kwa mtaa
Leta utambale kaka
Sio kila siku hunogea
Unapokamata mchele
Duniani ka paradiso
Na ukichacha mizozo mizozo
So now here we go
Unapokamata mchele
Duniani ka paradiso
Na ukichacha mizozo mizozo
So now here we go
Here we go ooh ooh(Huko huko)
Here we go ooh ooh(Huko huko)
Here we go ooh ooh(Huko huko)
Here we go ooh ooh(Huko huko)
Mchele, mchele, mchele, mchele
Mchele, mchele, mchele, mchele
Mchele, mchele, mchele, mchele
Mchele, mchele, mchele, mchele
Nautaka, mchele
Unanitaka, mchele
Naufuata, mchele
Unanifuata, mchele
Nautaka, mchele
Unanitaka, mchele
Naufuata, mchele
Unanifuata, mchele
Eeey baze tui namanga na mpaka banga imezidi
Plus na waganga mkiganga hatuoni ligi
Plus Instagram na huko Twitter magwiji
Mkidanganyana eti mnachukuaga vijiji
Eti Weusi basi Lunya tukiwakata Lunya
Tunawalisha ya kutosha ndo maana bado mnakunya
Nini mnastaajabu leo Joh kazi na Lunya
Nyinyi mna maajabu gani? Msotaka kuvuma
Tunaondoka hapo sasa
Si ndo si mambo sasa
Tuliondoka hapo kaka
Tunakusanya za pale
Tunapitia za hapa
Tunakulaga pa hapa
Arapimu utaapa
Unapokamata mchele
Duniani ka paradiso
Na ukichacha mizozo mizozo
So now here we go
Unapokamata mchele
Duniani ka paradiso
Na ukichacha mizozo mizozo
So now here we go
Here we go ooh ooh(Huko huko)
Here we go ooh ooh(Huko huko)
Here we go ooh ooh(Huko huko)
Here we go ooh ooh(Huko huko)
Mchele, mchele, mchele, mchele
Mchele, mchele, mchele, mchele
Mchele, mchele, mchele, mchele
Mchele, mchele, mchele, mchele
Nautaka, mchele
Unanitaka, mchele
Naufuata, mchele
Unanifuata, mchele
Nautaka, mchele
Unanitaka, mchele
Naufuata, mchele
Unanifuata, mchele
Watch Video
About Mchele
More JOH MAKINI Lyrics
Comments ( 1 )
Thanks joh much appreciation for the song kaka.big up.
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl