Raha Tele Lyrics
Raha Tele Lyrics by JAY MELODY
Mpaka raha
Unavyo onyesha maajabu
Unanipa mapenzi huchagui sana
Mtoto makeup
Madharaa, ukivifuata vibabu
Ukatae tembele uchague nyama
Unieke roho juu
Hatari sana, mtoto kumbuyia
Anavyonipa umoto, hatari ukinibania
Unaenjoy sana, michezo ya kukutania
Na chai tule ukoko, usiku wali bamia
Mapenzi yetu mimi na wewe
Raha tele...hayaaa
Raha tele...hayaaa
Raha tele...hayaaa
Raha tele...mapenzi yetu me na wewe
Raha tele...na kisura
Raha tele...hayaaa
Raha tele...oooh
Raha tele...mapenzi yetu me na wewe
Nijuze,
Nijuze kipi kinafanya unalia
Oooh nieleze mama
Nieleze maana nishaanza kuchanganyikiwa
Aaah ruksa kunifanya chambo
Wakikuzingue nikapamabane
Nikulinde kama mgambo
Ili masharobaro wasikuone
Koleza mami
Koleza nazi kwa mchele
Ili za bagaa tuwaachie wenyewe
Koleza baby
Koleza nazi kwa mchele
Ili za bagaa tuwaachie wenyewe
Raha tele...hayaaa
Raha tele...hayaaa
Raha tele...hayaaa
Raha tele...mapenzi yetu me na wewe
Raha tele...na kisura
Raha tele...hayaaa
Raha tele...oooh
Raha tele...mapenzi yetu me na wewe
Raha tele...nasikia raha
Raha tele...nasikia furaha
Raha tele...mwana wewe
Raha tele...naona raha
Raha tele...oooh beiby ma
Raha tele...nakupenda sana
Raha tele...raha tele
Raha tele...raha tele
Watch Video
About Raha Tele
More JAY MELODY Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl