Umetukuka by ISAAC KAHURA Lyrics

Umetukuka twakuheshimu 
Hakuna Mwingine kama Wewe
Wewe Mungu Baba Yangu 
Nakuinua Nakuabudu

Wewe mwanzo tena mwisho
Simba Wa Yuda Hutashindwa
Sauti Yako twailewa
Unaponena twasikia

Niseme nini nikuinue
Niseme nini nikuabudu
Wewe pekee wastahili
Wewe pekee uinuliwe

Music Video
About this Song
Album : Umetukuka (Single),
Release Year : 2011
Added By: Trendy Sushi
Published: Mar 03 , 2020
More Lyrics By ISAAC KAHURA
Comments ( 0 )
No Comment yet
Leave a comment