Baba naomba kubarikiwa nawe Lyrics
Baba naomba kubarikiwa nawe Lyrics by ISAAC KAHURA
Macho yangu nayainua
Nibadilishe Unibariki
baraka zako haina huzuni
nizakudumu milele amina
Baba naomba kubarikiwa nawe
sitoki hapa usiponibariki
Baba naomba kubarikiwa nawe
sitoki hapa usiponibariki
ukabadilisha Yakobo jina ukamwita
isreael maana yake kubarikiwa
nami naomba kubarikiwa nawe
Baba naomba kubarikiwa nawe
sitoki hapa usiponibariki
Baba naomba kubarikiwa nawe
sitoki hapa usiponibariki
Ninapokutazama utanininua
Ninapokutazama utanibariki
Ninapokutazama sitaogopa kamwe
Sitoki hapa bila uguso wako
Baba naomba kubarikiwa nawe
sitoki hapa usiponibariki
Baba naomba kubarikiwa nawe
sitoki hapa usiponibariki
Ukinigusa nimebarikiwa
Uguso wako ni baraka kwangu
ulimgusa Batholomayo akaona
Ndipo nasema nataka uguso wako
Sitoki hapa usinibariki
Baba naomba kubarikiwa nawe
sitoki hapa usiponibariki
Baba naomba kubarikiwa nawe
sitoki hapa usiponibariki
Watch Video
About Baba naomba kubarikiwa nawe
More ISAAC KAHURA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl