Inanimaliza Lyrics
Inanimaliza Lyrics by HARMONIZE
(Its Bonga)
First time when I saw you
Nilitamani nikueleze how I feel
That was ..alafu macho nikukonyeze
Maybe you can feel
I swear moyo ungekuwa kitabu
Ningefunua uone yaliyomo ndani
Yaani mwenzako napata taabu
Sina furaha hata tone, nionege imani
Oooh my love ooh ooh
Macho yanaona kama umejibu YES
Moyo unaona kama umesema NO, NO, NO
Macho yanaona kama umejibu YES
Moyo unaona kama umesema NO, No, No, No yeah
Kusema kweli mi inaniumiza,
Inaniumiza inanimaliza, na sijamaliza
Kusema kweli mi inaniumiza,
Inaniumiza inanimaliza, na sijamaliza
(Babylon Bizy)
Sibongi nimekuwa kimbau mbau
Ghafla chui nimekuwa kinyau nyau
Mpaka sijui nayosema nimesahau
Vita ya penzi imekuwa kama Mau Mau
Nikiona sura nakonda
Nikiona chura nashindwa kubonga
Nakua mburura masikini omba omba
Kutwa nazurura kutuliza kidonda
Maumivu kama yangu anayo Konde Boy
Namtuliza mwanangu ah usikonde boy
Macho yanaona yes akili inasema
No No No atakukazia
Macho yanaona kama umejibu YES
Moyo unaona kama umesema NO, NO, NO
Macho yanaona kama umejibu YES
Moyo unaona kama umesema NO, No, No, No yeah
Kusema kweli mi inaniumiza,
Inaniumiza inanimaliza, na sijamaliza
Kusema kweli mi inaniumiza,
Inaniumiza inanimaliza, na sijamaliza
Watch Video
About Inanimaliza
More lyrics from Afro East album
More HARMONIZE Lyrics
Comments ( 1 )

That was ...(dream come true) Missing line Hot
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl