I miss You Lyrics
I miss You Lyrics by HARMONIZE
Yeah yea, yeah yea
Only you in my mind
Nahisi mwingine hakuna
Kwenye hii dunia
I don't know what you do
Never mind
Hata salamu unauchuna
Vimeseji nikikutumia
Ingawa silijui kosa
Ila fanya unisamehe
Umeniadhibu vya kutosha
Japo imani nionee
Oooh nikilala naota
Naota kama unaniita
Ila nafsi inasita
Ipo siku nitaitika
Oooh nikilala naota
Naota kama unaniita
Ila nafsi inasita
Ipo siku nitaitika my beiby
I miss you, I miss you
Ukiona mtu mzima ma
Analia ujue kuna jambo(I miss you)
Maji hayapandi mlima ma
Mi kiwete siwezi kwenda ng'ambo(I miss you)
Nilisacrifice my love for you
Ooooh
Leo unaniona sifai na matusi juu
Ooooh
Natamani urudi mama
Ila siwezi kukufosi fosi
Punguza makusi drama
Hizo mbwembwe na maposti posti
Kutwa nashinda Insta
Nazitazama zako picha
Usiombe bando likiisha
Mi mpweke la yote tisa
Oooh nikilala naota
Naota kama unaniita
Ila nafsi inasita
Ipo siku nitaitika
Oooh nikilala naota
Naota kama unaniita
Ila nafsi inasita
Ipo siku nitaitika my beiby
I miss you, I miss you
Ukiona mtu mzima ma
Analia ujue kuna jambo(I miss you)
Maji hayapandi mlima ma
Mi kiwete siwezi kwenda ng'ambo(I miss you)
Nikilala naota
Naota kama unaniita
Ila nafsi inasita mpenzi
Ipo siku utaitika
Nikilala naota
Naota kama unaniita
Ila nafsi inasita mpenzi
Ipo siku utaitika
Watch Video
About I miss You
More lyrics from Afro East album
More HARMONIZE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl